Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona sahii masaki wameamua kushusha luxury apartments tu. 👇🏾
IMG_7747.jpeg
..
View: https://vm.tiktok.com/ZMSFEqUox/.
IMG_7797.jpeg
IMG_7750.jpeg
..
View: https://www.instagram.com/reel/DHivdIVs-qV/?igsh=MXlzbnhhaTE3czVt. Masaki sahii naona wanataka iwe Miami.
 
Hayo ni mawazo yako. Baki hivyo hivyo. unawazidi watu wote wa security Tanzania uelewa. Yaani mpaka watu kwenye bunge la ulaya wanapiga kelele ili kuweka shinikizo, bado huelewi.

Sijui kama mambo mazito utayajua.
Lisu hana power. But nyuma ya pazia kuna guvu yenye lengo la kuiangusha TZ kutoka Ubelgiji.
Wakati wa Magufuli ilikuwa wazi, ila kwa sasa sielewi tatizo na EU linatoka wapi, kama masharti yao including machanjo yao tuliyatimiza, na moja ya signal kuwa tuko poa nao ni Prof. Janabi, wasingempa cheo kama kweli tungekuwa na ishu nao, tatizo liko wapi? Kumbuka mimi niko indifference na Lissu, simuoni kama mzalendo.
 
Back
Top Bottom