ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,359
- 88,446
Ingekuwa mawazo yangu.Ila uwanja wa ndege mpya Kagera ni tembo mweupe! Ule uliopo tangu kipindi cha Kikwete upo underutilized!
Mimi siyo mfuasi wa Mwanasiasa.Mzee unakomalia vitu vya kijinga. Achana na vitu usivyovijua. Mwenzako Tundu Lissu familia yake ipo Ubeligiji. Yupo tayari kufa na ameahidwa familia yake itatunzwa.
Mzee hatujengi viwanja kwaajili ya leo au Kesho. Uwanja wa ndege unakaa zaidi ya miaka 30.Ingekuwa mawazo yangu.
Futa project ya kujenga uwanja wa kimataifa Kagera, maana hata uwanja wa kimataifa Chato ni tembo.mweupe.
Boresha uwanja mpya wa Mwanza uwe wa kimataifa.
Jenga njia 4, barabara za Mwanza Mjini to Gate la Serengeti.
Watalii wanaoshukia Mwanza wanaingia serengeti.
Na watakaoingia kupitia KIA wanaingia Serengeti.
Watalii wavivu, tayari tuna Seronera Airstrip ambayo inapokea ndege ndogo.
Kujemga Uwanja mkunwa mbigani, hata kama wanasema sijui ni Green. .wisbo wa siku Ndege zina kelele sana.
Wanyama watahama watakuwa wanahama kila siku.
Kama tunasema Masai wanavuruga ecosytem ya Ngorongoro, vipi kuhusu Ndege kubwa.
UTU ni nini?Mimi siyo mfuasi wa Mwanasiasa.
Mimi ni mfuasi wa UTU.
Ndio maana nawateyea hata Wapalestina, hata kama sina ndugu Middle East.
Hata CCM ya Nyerere siyo hii.
Kuna genge tu, limeteka Dola, na wala siyo kila mwenye akili timamu anafurahia.
Kufa hata wewe UTAKUFA na UTASAHAURIKA.
Gautrain sio light train!Its a SAFARI. Not a business trip.
Kujenga lami wameshindwa, hizo ndege kubwa mbugani ndio kabisa zinaenda kukimbiza wanyama.
Wanyama watahamia Kenya.
SGR kutoka Tanga Port kwenda Isaka ni good idea.
Ila SGR kwenda Arusha tena kwa mfumo wa PPP ni utapeli wa kihuni tu.
Kwanza mikoa hiyo haihitaji SGR (Mostly for Cargo rail tracks)
Huko inatakiwa Light trains tu, kama za Nigeria, Ethiopia, South Africa Gautrain
Kijamaa wamwkichakaza hadi kinatumia wheelchair. 🤣🤣🤣 👇🏾 Achana kabisa na polisi wa kibongo.
View: https://youtu.be/nw_NDTU1az4?si=NzhjS0eeo7bTjgOB.
Apige mara ngapi!Next time akirudi,anapigishwa blow job😆😆
Hatonyongwa, wanamtuliza ili uchaguzi upite alafu watamwachia.Sisi watanzania wa kweli tumekubaliana TL kunyongwa na tunafurahia hilo
RubbishAshukuru wazee wamempa free road trip na home tourism huko ukundu 😂😂😂 ila kwanini ukundu na hawezi kutembea 😂