Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unadhani Kenya nyumba zinajengwa na serikali pekee. Fomu sixi akifungua mdomo tu bure.
Na unazotaja hapa ni namba za bongoslum.

Mukuru project is only smaller than Egypt new city housing project, and Angola's Kilamba city, in Africa.
And there is another one of a similar size coming up in Kibera.
Leta zA private zenye cost below 200,000 per sqm
 
Unadhani Kenya nyumba zinajengwa na serikali pekee. Fomu sixi akifungua mdomo tu bure.
Na unazotaja hapa ni namba za bongoslum.

Mukuru project is only smaller than Egypt new city housing project, and Angola's Kilamba city, in Africa.
And there is another one of a similar size coming up in Kibera.
Slums bado zitaendelea kuwepo , population ya kibera na mukuri Haina uwezo wa kulipia nyumba hizo
 
Halafu watanzania hawajengewi nyumba, hivi hamjifunzi kwenye clips kama hizi tunazoweka humu? Hii Dom ukiondoa naislum hakuna mkoa huko kwenu unaleta pua linapokuja suala la housing na hakuna miradi ya kitapeli ya nyumba za serikali kama huko kwenu

View: https://vm.tiktok.com/ZMSNSML7n/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok

Fun fact: Dodoma, with about twice the population of Eastleigh, produces 24% of the Nairobi suburb.

Eastleigh GDP: $10B - (Based on 30% revenue Nairobi county collects from Eastleigh.
Dodoma GDP: $2.4B

Sometimes I wonder why we bother replying to you bongoslums. We should leave you to fight it out with your neighbors Rwanda and Burundi 😂 😂 😂
 
Slums bado zitaendelea kuwepo , population ya kibera na mukuri Haina uwezo wa kulipia nyumba hizo
Wewe unajua wanalipa pesa ngapi ndio uropoke?
Na hakuna yeyote analazimishwa alipe cash.
Hii ni mortgage ya miaka 30 kwa bei ile ile wanalipa kwa slum.
 
Upinzani wenyewe wa kuwaondoa CCM uko wapi? Tunahitaji upinzani madhubuti wenye spirit ya nationalism, hawa wapumbavu wanaona Kunyaland ndio their fantasy dreamland unaona tu mawazo yao yalivyofinyu na hawana msaada wowote kwa watanzania.
Twende mbele turudi nyuma hizi serikali zetu za kiafrika bila kuwa checked hatuwezi kupiga hatua bado tutazungukia hapa hapa
 
🤣🤣🤣🤣 mtu mmoja alisema wewe ni mpumbavu kama hizo 000 kwenye id yako .. size ya project ya new cairo ni 343km square.. almost the same size of Naipori city.

New Cairo city ukaskia yote ni nyumba za makazi.
Fomu sixi strikes again. 😂

Kama sio masomo duni, ungeweza kuona nilispecify Egypt new capital housing project'.

Alafu, tumia akili ujue hizo 343km unataja are the city administrative borders, not the built up are.
Much like Dar is slum.
 
Fun fact: Dodoma, with about twice the population of Eastleigh, produces 24% of the Nairobi suburb.

Eastleigh GDP: $10B - (Based on 30% revenue Nairobi county collects from Eastleigh.
Dodoma GDP: $2.4B

Sometimes I wonder why we bother replying to you bongoslums. We should leave you to fight it out with your neighbors Rwanda and Burundi 😂 😂 😂
Hizi 0 kwenye id yako respresents who you are. 🤣🤣🤣 sources say eistleigh contributes about 10% of Nairobi’s gdp, sasa labda utueleze 100 billion ndio Gdp ya Naipori. 🤣🤣🤣 wewe ni maandazi kuliko wote humu ndani.
 
New Cairo city ukaskia yote ni nyumba za makazi.
Fomu sixi strikes again. 😂

Kama sio masomo duni, ungeweza kuona nilispecify Egypt new capital housing project'.

Alafu, tumia akili ujue hizo 343km unataja are the city administrative borders, not the built up are.
Much like Dar is slum.
Skia sasa nikupashe wewe kilaza..

Mukuru houssing project is nothing to our bigger housing projects here in Tz. Huko cairo ni leauge ya duniani. 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe unajua wanalipa pesa ngapi ndio uropoke?
Na hakuna yeyote analazimishwa alipe cash.
Hii ni mortgage ya miaka 30 kwa bei ile ile wanalipa kwa slum.
Kwani bei inafichika
Single room inacheza 840,000 unalipa 10% baada ya hapo tutalipa 3200ksh kwa 30 years ambayo ni 1,152,000 ksh 🤣🤣🤣 kwa single room hailipi.
Unamdanganya nani eti watalipa Ile bei ya 700ksh per month wakati Kila kitu Kiko website. Hakuna slum dweller wa kulipa
 
New Cairo city ukaskia yote ni nyumba za makazi.
Fomu sixi strikes again. 😂

Kama sio masomo duni, ungeweza kuona nilispecify Egypt new capital housing project'.

Alafu, tumia akili ujue hizo 343km unataja are the city administrative borders, not the built up are.
Much like Dar is slum.
Total area ya Cairo ni 2,734 km2 (1,056 sq m)
Haya wewe tuambie hilo eneo ambalo mukuru imeizid cairo
 
Back
Top Bottom