Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But did Martha Karua or Justice Mutunga insult anyone? The insults r from te socialmedia n the result of these two being denied entry to Tanzania!
Hao wanafiki wanatafuta nini Tanzania, kwao matatizo tele kwa nini wasishughulike na matatizo ya nchi yao!
Hivi mzee na wewe umeingia mkenge wa hawa paid activists!
Kazi yao si ni kumtoa Ruto madarakani, je wamefanikiwa?
 
Nikisema wakenya wanadharau Tanzania this is what I mean.

L

Hii ni dharau sana,
 
Binafsi sikubaliani nae kwenye mambo mengi ila kwa kilichotokea juzi na jana namuunga mkono.
Hakika, pamoja na yote kwa hili wakunya amefanya vema, japo ingekuwa Mimi ningeweka ndani kwanza Hata siku mbili pale staki shari wakae na mateja, washike adabu. Kuna upumbavu sana kunya , inafika hatua wanarushia viatu rais wao, wamedekezwa. ujinga huo hata US au UK au nchi yoyote ya Ulimwengu wa Kwanza huwezi fanya ukaachwa tu, mijitu Fulani isiyofunzwa adabu. Ilitakiwa wafinywe kwanza makende ndio warudishwe kwao mlima Kenya.
 
Kuna hawa wawili bado wameshikiliwa.

View: https://x.com/winniekiiza/status/1924535388913221894?s=46
 
Back
Top Bottom