Bahati mbaya huwenda umeingia kwenye siasa kwa mkumbo sio kwa akili zako wewe ndiyo yule unaeona familia yako inaharibika huchukui hatua kwa sababu unamasilahi una kuharibika kwa familia yako ila huko mbeleeni hujui nn kitakukuta ndiyo wakenya wakati wanagawana aridhi hawakijua akina tiwagesi wataishije hii leo ndiyo wewe sasa yale ya Gaddafi kuwa hafai akauwawa nchi haitawaliki kipi bora tuwaruhusu waje na sisi tuharibikiwe au tuafukuze, hao ndiyo wanao pinga Bomba la mafuta, ndiyo vinara wa kutuchafua kwenye mitandao ya kijamii halafu bado uwachekee Baba au Mama wa familia kwenye hili namuunga mkono Mama 100% Wakamalize mataizo yao ndiyo waje tuongee kwa nn iwe ni siasa tu mbona kuna mambo mengi ya kimikataba mbona hawaji kuwa tumekosea
Umeelewa point yenyewe inayoongelewa hapa.
Issue sio siasa wala muonekano,
Kinachotokea sasa hivi Kila kitu tunahusisha na siasa.
Wakati bomba linapingwa na wakenya hapa wote tuliungana kupinga ni watu wachache sana walikuwa upande wao , hii ilitokana hakukuwa na maumivu kwa mtu yoyote bali ilikuwa ni maslahi kwa nchi.
Ili hii nchi iwe na amani lazima ifikie hatua Kila mtu aonekane Yuko sawa na mwingine.
Mpaka sasa tunahubiriwa kwamba tumevamiwa mara Kuna hela imetoka ubelgiji kwa ajili kuchafua hali ya hewa.
Je kipindi kile kina lisu wanatetea watu waliofukiwa kwenye migodi SI waliambiwa pia kuwa wanatumika na mabepari.
Haya wewe mwenyewe umekiri kuwa mkapa alikiri kwenye kitabu chake kuwa alifanya makosa , sasa yupi ni alikuwa anahatarisha amani kati ya mkapa na lisu miaka hiyo? Iweje Leo turopoke kuwa Kuna hela inatumika kutuvuruga na Kuna watu wametumwa ila mnashindwa kuleta evidence ?
Iweje haya yanatokea baada ya Ile kauli ya kuibiwa makaa ya mawe songea?
Baada ya miaka 10 wakija wakakiri kuwa walifanya makosa ya miradi ya makaa ya mawe tulazimishe kubadilishia mikataba tutawaona Tena ndio wokozi?
🤣🤣🤣🤣