Sasa unachotetea nini je ni kweli hatukushindwa kesi na kama kweli alikuwa mzalendo kweli kwanini haku deal na waliingia hii mikataba.
Yaan mnaingia mikataba ya kipumbavu wenyewe yakiwafika mnatafuta mlango wa nyuma ili muonekane wazalendo🤣🤣🤣🤣
Subscribe
Kitaifa
Serikali yashindwa kesi, yatakiwa kulipa fidia Sh260 bilioni
Jumanne, Julai 18, 2023
By Kelvin Matandiko
Mwandishi wa habari
Mwananchi
Muktasari:
Serikali imetakiwa kulipa fidia ya dola 109 milioni (Sh260 bilioni) kwa Kampuni ya Indiana Resources iliyoshinda kesi katika Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji (ICSID) baada ya kujiridhisha uwepo wa ukiukwaji wa mkataba wa uwekezaji katika Mradi wa Nikeli wa Ntaka Hill mwaka 2018.
Mgogoro huo unachagizwa na marekebisho ya Sheria ya Madini ya 2017, ambayo pamoja na mambo mengine, ilifuta misingi ya kisheria ya umiliki wa leseni ya kuhodhi eneo la madini katika kipindi cha...
www.mwananchi.co.tz