stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 39,433
- 39,633
ndo plan yao shida utekelezaji, wakiweza kupiga umeme basi tena kwisha habari ya dandoraUganda anapiga electric railway. Tena AREMA standard. Kama ya kwetu hapa Bongo. Hata mobilization ya vifaa vya ujenzi hapo Uganda some of them vinatoka hapa Tanzania kwa sababu Mkandarasi ndio huyo huyo mmoja Mturuki.