Nairobi tu Ina population ya watu 2.5mil tukisema basi Kila slum familia iwe na watu 5, mahitaji units zaid ya 500,000 kwa nchi nzima , lakini nyinyi mnajenga nchi nzima units 150,000 ,Hakuna nyumba iliyo kwa riverbed itabaki. Hio yote ni part of Nairobi River Regeneration Program.
Tuliza boli. The shanties will be demolished slowly as the new units become available.
Weka stockpile ya tissue, machozi itakuwa mingi.
Sa unaturingishia kamradi ka vigorofa viwili vitatu we matrako.? 🤣🤣🤣Hakuna nyumba iliyo kwa riverbed itabaki. Hio yote ni part of Nairobi River Regeneration Program.
Tuliza boli. The shanties will be demolished slowly as the new units become available.
Weka stockpile ya tissue, machozi itakuwa mingi.
Halafu watanzania hawajengewi nyumba, hivi hamjifunzi kwenye clips kama hizi tunazoweka humu? Hii Dom ukiondoa naislum hakuna mkoa huko kwenu unaleta pua linapokuja suala la housing na hakuna miradi ya kitapeli ya nyumba za serikali kama huko kwenuA quick Google search shows China gave TPDF a $550million loan to build 12,000 houses.
Lol. That's not even Mukuru project numbers alone.
You're boasting about a decade-long nationwide project that has produced fewer numbers than one project in Nairobi.
Fomu sixi on full display again. 😂😂😂
Kenya has over 150,000 housing units from the affordable program alone, in various stages of construction. Many more in planning or in courts.
As long as the housing levy exists, the money is there to scale this up to at least 1 million completed or ongoing houses in the next 5 years.
Kwahiyo slums za mukuru hazijabomolewa! 😂😂😂
View: https://x.com/paulmathews3004/status/1924712233478533238?s=46
Ukurasa hauku hakiwa mkuu, ilikua ni propaganda za waenda resi tu.najua jamaa wa Githurai wanahusika!
Bongolala unaumia kweli kweli. Badaa ya hizi kelele zote, ungetuambia sisiemu tukufu inafanya nini kuondoa slums zenu zilizotapakaa kila mahali. What is your government doing about this?Nairobi tu Ina population ya watu 2.5mil tukisema basi Kila slum familia iwe na watu 5, mahitaji units zaid ya 500,000 kwa nchi nzima , lakini nyinyi mnajenga nchi nzima units 150,000 ,
Kwa nchi nzima mnahitaji units 2mil maana 10mil wako kwa slums.
Na bahati mbaya majority ya wanaoishi kwenye slums hawana uwezo wa kulipia hiyo initial deposits
Unadhani Kenya nyumba zinajengwa na serikali pekee. Fomu sixi akifungua mdomo tu bure.Nairobi tu Ina population ya watu 2.5mil tukisema basi Kila slum familia iwe na watu 5, mahitaji units zaid ya 500,000 kwa nchi nzima , lakini nyinyi mnajenga nchi nzima units 150,000 ,
Kwa nchi nzima mnahitaji units 2mil maana 10mil wako kwa slums.
Na bahati mbaya majority ya wanaoishi kwenye slums hawana uwezo wa kulipia hiyo initial deposits
Bongolala unaumia kweli kweli. Badaa ya hizi kelele zote, ungetuambia sisiemu tukufu inafanya nini kuondoa slums zenu zilizotapakaa kila mahali. What is your government doing about this?View attachment 3339894View attachment 3339895View attachment 3339896View attachment 3339897View attachment 3339899
Hawawezi kukuelewa hao Tanzania uchawa ni janga la taifa, mwaka juzi Jk alienda kenya kuhudhuria uchaguzi wa kenya sasa sijui jk naye ni mwanaharakatiiBasi tukubali hata waangalizi wa kimataifa kwenye chaguzi hawaruhisiwi kabisa kuja kwenye chaguzi zetu maana wanatakiwa washughulike na yaliyo kwenye nchi zao
🤣🤣🤣🤣 mtu mmoja alisema wewe ni mpumbavu kama hizo 000 kwenye id yako .. size ya project ya new cairo ni 343km square.. almost the same size of Naipori city.Unadhani Kenya nyumba zinajengwa na serikali pekee. Fomu sixi akifungua mdomo tu bure.
Na unazotaja hapa ni namba za bongoslum.
Mukuru project is only smaller than Egypt new city housing project, and Angola's Kilamba city, in Africa.
And there is another one of a similar size coming up in Kibera.