babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,725
Hii ni SGR au Mgr! ๐๐๐
mbwayi pamoja na Madudu ya Mkapa aliomba msamaha kwenye kitabu chake JPM angeacha nyumba ianguke au kuna uwezo wa kukarabati na maisha yakaendeleaUtaratibu gani utautumia kuharibu maslahi ya wazungu kaka.? Kama ni makosa yalishafanywa na watangulizi wake, sasa tuyaache tu hivyo hivyo kwasababu watangulizi walikosea.? Hatuwezi kuliendesha hili taifa kwa style hiyo my brother. Nia ya JPM ilikua wazi kabisa, na hakukua na njia ya mkato ispokua ni kuivunja mikataba iliyosainiwa, and glad we did it, hizo hasara zingine zinahimilika.
Listen, Nyerere aliwahi kuwakatalia barick mkataba wao wa hovyo kuchimba madini Tz na kuwaeleza wazi kwamba sio lazima madini yachimbwe wakati ule, Vizazi vijavyo vitakapokuwa tayari vitachimba, kwa bahati mbaya Mkapa akaruhusu kwa vipingele vibovu kuliko vile alivyopinga Nyerere, sasa je Magufuli nae angeacha hivyo hivyo.? Hivi nyinyi mnalitakia mema hili taifa kweli.? Au mnashabikia tu.?
Hao lazima wang'ang'aniwe wana bahati mbaya kweli wamekamatwa wakati mama ndio anasema watovu wa nidhamu wasivumiliwe ๐๐๐ wataona detain and deport ilikua privilege ๐Hawa wawe fundisho kwa wapumbavu wenzao huko Kenya, hawataleta tena matako yao huku. ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kwahiyo kumbe waliongia mikataba sio wapinzani walikuwa ni ccm, sasa unaanzaje kusema flani ni mhaini wakati tayar Kuna mtu wenu tayar ashatuuza kwa kuingia mikataba mibovu?Utaratibu gani utautumia kuharibu maslahi ya wazungu kaka.? Kama ni makosa yalishafanywa na watangulizi wake, sasa tuyaache tu hivyo hivyo kwasababu watangulizi walikosea.? Hatuwezi kuliendesha hili taifa kwa style hiyo my brother. Nia ya JPM ilikua wazi kabisa, na hakukua na njia ya mkato ispokua ni kuivunja mikataba iliyosainiwa, and glad we did it, hizo hasara zingine zinahimilika.
Listen, Nyerere aliwahi kuwakatalia barick mkataba wao wa hovyo kuchimba madini Tz na kuwaeleza wazi kwamba sio lazima madini yachimbwe wakati ule, Vizazi vijavyo vitakapokuwa tayari vitachimba, kwa bahati mbaya Mkapa akaruhusu kwa vipingele vibovu kuliko vile alivyopinga Nyerere, sasa je Magufuli nae angeacha hivyo hivyo.? Hivi nyinyi mnalitakia mema hili taifa kweli.? Au mnashabikia tu.?
Kwani wakati wanamshauri jinsi ya kuweza kutatua migogoro Ile bila kuingia gharama ya kulipa fidia kwanini hakusikiliza.Matatizo ya madini yaliletwa na Mkapa na ukiona mtu anatetea ujinga jua ana masilahi nao mama simpendi ila kwa hili la wakunya kuja kwetu kusikiliza kesi zetu big no namuunga mkono 100% Ningekuwa mm ni yeye hata kama ni mbwayi acha
mbwayi pamoja na Madudu ya Mkapa aliomba msamaha kwenye kitabu chake JPM angeacha nyumba ianguke au kuna uwezo wa kukarabati na maisha yakaendelea
Mbona hujamuongelea Shonza na Waitara?Upinzani wenye akili ulikua kama enzi za Zitto, na Slaa, hawa wapumbavu wa saivi hamna mtu ni makapi
View attachment 3339776
walikosa kabisa chochote kibaya kwa Magu wakawa wanaenda mortuary wananunua miili iliotelekezwa miaka mingi wanaifunga kwenye viroba wanaitelekeza public areas halafu wanakuja kuiripoti eti Magu anaua watu, wajifungia mahali wiki miezi wanasema wametekwa, zote hizo ni ili wamchafue Magu wale pesa za mabeberu upinzani wa kipumbavu kweli.Hawa ndo wanakuambia awamu ya JK haikuwa na shida.
Unajiuliza hivi yule dokta wa msitu wa Pande ilikuwa awamu gani!
Sgiiaraa hiyo inajifia zake ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kifo cha kawaida kabisa. Sahii nginjangija linabeba behewa nne tu. ๐คฃ๐คฃHii ni SGR au Mgr! ๐๐๐
View attachment 3339783
Hawa wote Mjomba alivyoona ubora wao aliwaita serikalini na kupiganao kazi. Akina David Silinde naibu waziri wa kilimo, akina Peter Lijualikali.Upinzani wenye akili ulikua kama enzi za Zitto, na Slaa, hawa wapumbavu wa saivi hamna mtu ni makapi
View attachment 3339776
Inavuta behewa nne tu! ๐๐๐Sgiiaraa hiyo inajifia zake ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kifo cha kawaida kabisa. Sahii nginjangija linabeba behewa nne tu. ๐คฃ๐คฃ
Hii waitafutie museum waiweke tu sababu imeshakua zilipendwa hapo hata abiria 40 hawafikiHii ni SGR au Mgr! ๐๐๐
View attachment 3339783
Aliomba msamaha baada ya kufanya blanda sio. Huko mbeleni baada ya miaka mingi hawa wanaowafanyia wenzao maovu wakija omba msamaha tuwasamehe tu wakati wanashauriwa ila wameziba masikio.Matatizo ya madini yaliletwa na Mkapa na ukiona mtu anatetea ujinga jua ana masilahi nao mama simpendi ila kwa hili la wakunya kuja kwetu kusikiliza kesi zetu big no namuunga mkono 100% Ningekuwa mm ni yeye hata kama ni mbwayi acha
mbwayi pamoja na Madudu ya Mkapa aliomba msamaha kwenye kitabu chake JPM angeacha nyumba ianguke au kuna uwezo wa kukarabati na maisha yakaendelea
Ili ivute behewa zaidi ya kumi inabidi wafunge vichwa viwili. ๐๐๐Hii waitafutie museum waiweke tu sababu imeshakua zilipendwa hapo hata abiria 40 hawafiki
Angalia hii video. ๐๐๐Wakundustan ninyi wapumbavu kweli, yaani hizo nyumba zote mnazojenga zote hazitakaa zifike idadi ya nyumba za wanajeshi Tanzania ilizojenga nchi nzima kila wilaya Tanzania hii, hizi nyumba zipo kila mahali Tanzania na hujawahi kuzisikia zikiongelewa popote
View attachment 3339805View attachment 3339806
๐ ๐ ๐ Hii ungewacha tu ibaki gallery.Wakundustan ninyi wapumbavu kweli, yaani hizo nyumba zote mnazojenga zote hazitakaa zifike idadi ya nyumba za wanajeshi Tanzania ilizojenga nchi nzima kila wilaya Tanzania hii, hizi nyumba zipo kila mahali Tanzania na hujawahi kuzisikia zikiongelewa popote
View attachment 3339805View attachment 3339806
Hiyo 35M ukiwa na kiwanja nje ya mji si inatosha three bedroom kabisa. ๐๐๐๐๐ Eti house tour wakati ukiingia tu kila kitu kimeisha? Hii bedsitter ya mwanachuo huku Tanzania ndio anapewa huyo mama mwenye watoto 6 na mume tena kwa million 35 za kitanzania ๐๐๐ hapo wafanyakazi walishakatwa pesa kwenye mishahara na hakuna atakaepewa bure chochote.