Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazima ujue kuna tofauti kati ya upinzani na uanaharakati. Ninanachokataa ni uanaharakati.😁
Labda tusaidie kumzuia mtu kuhudhuria kesi Kuna uanaharakati gani?
Hivi unajua kwenye hizi fani Kuna bodi na vyama , kwa mfano
Kwa wahasibu kukiwa na kikao cha nbaaa tukaalika au kukawa na washirika kutoka Kenya ni uanaharakati ? Kama haipo mawakili pia KAZI zao ni mahakamani wanaruhusiwa kuingia na kusikiliza ili wajifunze
 
Labda nikuulize wapinzani walipopata wabunge wengi bungeni kulikuwa na mabadiko gani ya katiba?
 
Labda nikuulize wapinzani walipopata wabunge wengi bungeni kulikuwa na mabadiko gani ya katiba?
Jiulize ilikuwa mwaka gani? 2005 - 2015 hakukuwa na kukamatakama kama saa hii, kikwete aliachia Kila mtu afe kwa kamba yake , bunge likawa la moto . Haya niambie Leo nikivumbua maovu letsay ya mtu mkubwa kama kesho ntakuwa hai🤣🤣🤣
 
Mkuu tuwe serious kwenye hili nadhani serikali imekosea, huwez endelea popote pale kwa kukandamiza haki za watu. Hapa siku zote tunalalamika kuwa Kuna ufisadi ila ikitokea mtu kauzungumzia ufisadi ni mhaini , kwahiyo lisu kuongelea kuhusu makaa ya mawe ni uhaini.
Ushatembelea kusini au mbinga ukaona makaa ya mawe yanavyosombwa ?
Ebu tuambie kwa mwaka Jana exports za makaa ya mawe ni kiasi gani.
Kuna kampuni kama
Mighty
Ruvuma coal.
Specialized
Hizo mfano tu kwa siku zinatoka zaid ya trucks 200 kwa Kila kampuni ya makaa ya mawe , bado yanayoenda Kenya,Rwanda Uganda Zambia ila exports hatuzioni.
Serikali inatakiwa ijenge hoja sio kukamata
Mzee kama hujui kilichonyuma ya pazia bora ungekaa kimya uache vyombo vya usalama vifanye kazi. Amani tuliyonayo hii ni muhimu kuliko demokrasia.

Wakenya walilipwa pesa na Ubelgiji kwaajili ya kuvuruga uchaguzi wa Tanzania.

Test yao walianzia kwa Mwambukusi wakashinda. Next step ilikuwa kuharibu uchaguzi. Walikuwa wamepanga kuingiza watu toka kenya kuja kuvuruga uchaguzi.

Ile ya #Rutomustgo ili target yao ni Tanzania ili nao wafuate mkumbo. But ilibuma wakaja na plan B. Nayo tumeiona.

Next step itakuwa kufunga mpaka wa kenya na Tanzania kila mtu abaki kwenye nchi yake mpaka next year mwezi wa kwanza.
 
Jiulize ilikuwa mwaka gani? 2005 - 2015 hakukuwa na kukamatakama kama saa hii, kikwete aliachia Kila mtu afe kwa kamba yake , bunge likawa la moto . Haya niambie Leo nikivumbua maovu letsay ya mtu mkubwa kama kesho ntakuwa hai🤣🤣🤣
Miaka hiyo ulikuwa na umri gani. Vijana wa Ubelgiji kwikwikwikwi. Maji ya moto yametiwa kwenye tundu wadudu wote mtatoka. Tutailinda Amani ya Tanzania kwa gharama yoyote. Kama Tundu Lisu anahatarisha amani yake basi yeye atalipia, kama ni wewe gharama ya amani utailipia.

Hatucheki na kima likija suala la Amani yetu
 
Mzee kama hujui kilichonyuma ya pazia bora ungekaa kimya uache vyombo vya usalama vifanye kazi. Amani tuliyonayo hii ni muhimu kuliko demokrasia.

Wakenya walilipwa pesa na Ubelgiji kwaajili ya kuvuruga uchaguzi wa Tanzania.

Test yao walianzia kwa Mwambukusi wakashinda. Next step ilikuwa kuharibu uchaguzi. Walikuwa wamepanga kuingiza watu toka kenya kuja kuvuruga uchaguzi.

Ile ya #Rutomustgo ili target yao ni Tanzania ili nao wafuate mkumbo. But ilibuma wakaja na plan B. Nayo tumeiona.

Next step itakuwa kufunga mpaka wa kenya na Tanzania kila mtu abaki kwenye nchi yake mpaka next year mwezi wa kwanza.
Duuuh mkuuu nadhani unahitaji sana iingie deep sana kwenye issue za kisiasa na uache kusikiliza propaganda.
Ukisema Kuna hela ya ubelgiji ilitakiwa uwe na evidence letsay cheque au watu wakigawana pesa
Sio Kila uchaguz kama wa mwambukusi una influence ya watu wa nje tuachage kusikiliza propaganda bali uhalisia. Haya ndo yanatufanya tuendelee kubali nyuma , Leo hii kampuni zinazzongoza kulipa Kodi hazifikii zile zenye mitaji mikubwa, yaan Leo hii bakhresa au mo mwenye viwanda zaid ya 30 hayumo kwenye top ten ila nmb yupo🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom