Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee kama hujui kilichonyuma ya pazia bora ungekaa kimya uache vyombo vya usalama vifanye kazi. Amani tuliyonayo hii ni muhimu kuliko demokrasia.

Wakenya walilipwa pesa na Ubelgiji kwaajili ya kuvuruga uchaguzi wa Tanzania.

Test yao walianzia kwa Mwambukusi wakashinda. Next step ilikuwa kuharibu uchaguzi. Walikuwa wamepanga kuingiza watu toka kenya kuja kuvuruga uchaguzi.

Ile ya #Rutomustgo ili target yao ni Tanzania ili nao wafuate mkumbo. But ilibuma wakaja na plan B. Nayo tumeiona.

Next step itakuwa kufunga mpaka wa kenya na Tanzania kila mtu abaki kwenye nchi yake mpaka next year mwezi wa kwanza.
Nyuma ya pazia kipi uzalendo usikufanye ufumbie macho mambo ya kijinga kaka
 
Unajua wakenya kwa sasa hawana cha kupoteza. Ogopa sana kukaa na mtu aliyekata tamaa na maisha. He/she can do anything.

Just imagine wakenya wanenda Uganda kujiandikisha kupiga kura. Wanakuja kwa wingi Tanzania kufanya siasa. Halafu unaona kabisa kuwa ni coordinated agenda.

Baada ya kufanya tukio mitandao ya kijamii wanapiga kelele kila kona. Very stupid na unaona kabisa they are paid to do that. Wanalipia mitandao ya kijamii ili taarifa zitembee.

Ndio mbinu hiyo hiyo waliyoitumia wazungu zambia na kukiangusha chama tawala
Unafikiri mimi nawakubali hao wanaharakati au sielewi wanachokifanya? Hata huyo Lissu wao, mi huwa simpendi, na ukiangalia post chache nyuma hapo, nimeeleza kwanini nipo indifference na Lissu.

Tatizo langu hapa naona kuna double standard, linapokuja suala la mambo ya amani/ulinzi wa nchi. Huwezi kusema unalinda nchi, wakati unaruhusu kiasi kikubwa cha DNA ya population yako iharibiwe. Wakenya kama kawaida yao, walikubali toka mwanzo ku 'follow the order', kwa tamaa, ujinga na ulafi wao, sisi chini ya Magu tulikataa.

Sasa hoja yangu kama concordile 101 alivyoitambua ni kuwa, kama kweli tuko 'real' na tunaipenda nchi yetu, kwa nini tulikubali 'gene pool' yetu kuingiliwa? Tutafaidika nini kusema, tunalinda amani wakati kiasi kikubwa cha watu wetu wamedungwa kemikali zinazoharibu DNA yao, wengine hata kudondoka na kufa ghafla? Au unafikiri ni kwa nini prof Janabi ghafla alianza zile lecture zake za kula mlo mmoja kwa siku, mbona hakusema hivyo 2017? Unajuwa ni kwa nini?

Unanielewa lakini kuhusu hiyo double standard?
 
Kaka azisha uzi na utuletee watu wangapi wamedungwa na wamepata matatizo. Mimi huongea kwa facts kaka. Tukianza kuzungushana hapa tunapoteza maana ya thread hii.
 
Mambo yapi ya kijinga? Raia wa nchi nyingine kufanya siasa Tanzania? Hebu tumia akili yako kidogo ya akiba.
Raia wa nchi nyingine kufanya siasa? Rubbish.... Kachome familia yako moto kisha ushikie majirani jambia wakati wanakuja kuuzima kwa kigezo cha kuingiliwa mambo yako ya kifamilia! Jinga kabisa
 
Jangwani kumepambazuka

View: https://www.facebook.com/share/p/1fG1aECYkr/

1000024070.jpg
1000024069.jpg
1000024068.jpg
 
Does Tanzania have Saccos ( or similar) like Kenya where individuals can access credit for self empowerment.
 
Back
Top Bottom