chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,032
Wakenya wenyewe wanaweka simu kama bond au wakenya wapi? 😂😂 Wakenya ndio wanawapaga pesa za kulipa mishahara?Debt ni za wakenya so sioni shida hapo, Tanzania deni ni ya foreigners.
Wakenya wenyewe wanaweka simu kama bond au wakenya wapi? 😂😂 Wakenya ndio wanawapaga pesa za kulipa mishahara?Debt ni za wakenya so sioni shida hapo, Tanzania deni ni ya foreigners.
Ushawahi kukopa.? Kikawaida tu nyumbani.? Nazungumzia hii mikopo rasmi..Hivi kati zile ndege mpya ngapi zimepaki ? Kwa kukosa vipuri , hivi tungekuwa tumenunua kwa mkopo unadhani muuzaji angekubali msipate vifaa kwa wakati ili mumlipe deni lake ?
Issue sio kuingia hasara bali utaratibu, kumbuka hata wakati hii mikataba inaaingiwa Kuna watu kibao walipondwa na kuumizwa kuwa ni wahaini kwa kupinga hiyo mikataba.Sasa kipi bora.? Hizi hasara tunazojua kiwango chake au kuruhusu ule wizi wa madini wa barick ambao hatujui kiwango chake ni kiasi gani, na ungekuepo vizazi na vizazi.? Heb tujaribu kuwa wakweli jamani.
Ninyi ndio mnaodharaulika Tanzania, nimeshangaa wengi mmeshangaa hao wahuni wenu kuwa deported, mlitegemea Tanzania ingewaogopa?Nikisema wakenya wanadharau Tanzania this is what I mean.
L
Hii ni dharau sana,
Huyu hajui chochote, ndege za ATCL zilikuwa na shida ya engine kutokana na engine za rolls Royce kupata changamoto kote ulimwenguni.Ushawahi kukopa.? Kikawaida tu nyumbani.? Nazungumzia hii mikopo rasmi..
Vipuri vinanunuliwa my brother, ni bora vichelewe kufika lakini hiyo ndege ni yetu, hasara za kimadirio sio hasara halisi.. ndege itakua haifanyi kazi ikisubiri matengenezo.. je vipi ndege ikisubiri matengenezo halafu ni ya mkopo.? Itafika wakati tutashindwa kuilipia kabisa halafu wenyenayo wataichukua au tutaendelea kuwa watumwa wa hayo madeni milele, pesa inayotosha kununua ndege tano cash tutaitumia kulipia ndege moja ya mkopo… ukumbuke shirika letu lipo kwenye ukuaji, ndio kwanzaa limeanza, cancelations zitakuwepo, delays zitakuwepo, utendaji mbovu utakuepo n.k. Haya mambo yote usidhani viongozi hawakuyafkiria wakati walipoamua kununua ndege kwa cash.
Wamepaniki kwanini wamekua deported wameshangaa walijua Tanzania inawaogopa 😂😂 comments zao zinaonesha walijua Tanzania inaheshimu sana kenya masikiniHujui kuwa sisi pia tunawadharau sana nyie nyang'au?😁
Hapo Slipway "Mall" mnafanya hadi tohara?😂😂😂Wewe una ujanja gani mungiki.? 🤣🤣🤣 nenda katahiriwe huko kwanza.
Kuna hawa wawili bado wameshikiliwa.
View: https://x.com/winniekiiza/status/1924535388913221894?s=46
Utaratibu gani utautumia kuharibu maslahi ya wazungu kaka.? Kama ni makosa yalishafanywa na watangulizi wake, sasa tuyaache tu hivyo hivyo kwasababu watangulizi walikosea.? Hatuwezi kuliendesha hili taifa kwa style hiyo my brother. Nia ya JPM ilikua wazi kabisa, na hakukua na njia ya mkato ispokua ni kuivunja mikataba iliyosainiwa, and glad we did it, hizo hasara zingine zinahimilika.Issue sio kuingia hasara bali utaratibu, kumbuka hata wakati hii mikataba inaaingiwa Kuna watu kibao walipondwa na kuumizwa kuwa ni wahaini kwa kupinga hiyo mikataba.
Kuna watu walifukiwa bulyankulu wakiwa wamegoma kuachia machimbo yao na serikali hiyo chini ya ccm ilipeleka askari kuwatoa kwa nguvu.
Je unajua aliyekwenda kusimama mahakamani kuwatetea wale maskini waliofunikwa na vifusi.
Je kati ya yule aliyelazimisha mikataba na yule aliyekwenda kusimama mahakamani mpaka watu wakipata haki zao nani mhaini.
Eti baadae yule aliyekwenda kutetea maskini wapate haki huku yule aliyeiba akanufaika akisaza Leo aonekane mhaini ila muuwaji ndo mtaka mwema sio
Maisha yao 80% humu ndani pale Dar🤣🤣🤣Yet hapo Dar 80% mnaishi kwa single room vyoo vya nje.
Watu wanakua na kumbukumbu kama za kuku, wameshasahau haya yote, Lissu aliside na mabeberu wa makinikia tena alikua anawatetea waendelee kutunyonya wasigusweWakati JPM anapambana kubadilisha sheria za madini pamoja na kuzuia makinikia miaka ile nakumbuka huyo Lissu akaanza kutishia nchi kuwa tutashitakiwa MIGA kisa tu sheria zetu mpya za madini.
Hawa watoto wanaoshabikia siasa juu juu changamoto sana.
Yaani nchi yako inapambana kurekebisha sheria za madini ili kunufaisha nchi wewe unakuja kupinga na kukatisha tamaa.
Sasa hivi sheria mpya za madini zinanufaisha nchi.
Tutanyolewa bila maji - Tundu Lissu | East Africa Television
Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameibuka na kuishauri serikali jambo la kufanya kutokana na matokeo ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliofanywa na kamati ilyoundwa na Rais John Magufuli.www.eatv.tv
Watu wengi wa chadema wanafata mkumbo tu.. na tukichekanao watailetea shida hii Tanzania.. we must deal with them perpenducular..Huyu hajui chochote, ndege za ATCL zilikuwa na shida ya engine kutokana na engine za rolls Royce kupata changamoto kote ulimwenguni.
![]()
Rolls-Royce engine delays continue to affect air travel in 2025 - Travel With Meon
The Rolls-Royce Trent 1000, which powers the Boeing 787, is affecting global airlines because of delivery delays due to reliability issues.meonvalleytravel.com
Mpaka umepata hii ya enzi za Nyerere? UnajitahidiSlipway ni pa wananguaji viuno. Hakuna mall pale. Ona walivyovaa kanga za sisiemu viunoni wakisubiri kunengua viuno ndani ya mall!! 🤣🤣
View attachment 3339707
Ushamba reloaded!
Hawa wawe fundisho kwa wapumbavu wenzao huko Kenya, hawataleta tena matako yao huku. 🤣🤣🤣Hawa wale nguna ya bure angalau mwezi kwanza ndio wakundustan wajue Tanzania sio chooni
Hawa ndo wanakuambia awamu ya JK haikuwa na shida.Watu wanakua na kumbukumbu kama za kuku, wameshasahau haya yote, Lissu aliside na mabeberu wa makinikia tena alikua anawatetea waendelee kutunyonya wasiguswe
Hivi ukifuatilia kwanza ushauri aliowahi utoa kipindi kile kabla ya kuvunja mkataba.Utaratibu gani utautumia kuharibu maslahi ya wazungu kaka.? Kama ni makosa yalishafanywa na watangulizi wake, sasa tuyaache tu hivyo hivyo kwasababu watangulizi walikosea.? Hatuwezi kuliendesha hili taifa kwa style hiyo my brother. Nia ya JPM ilikua wazi kabisa, na hakukua na njia ya mkato ispokua ni kuivunja mikataba iliyosainiwa, and glad we did it, hizo hasara zingine zinahimilika.
Listen, Nyerere aliwahi kuwakatalia barick mkataba wao wa hovyo kuchimba madini Tz na kuwaeleza wazi kwamba sio lazima madini yachimbwe wakati ule, Vizazi vijavyo vitakapokuwa tayari vitachimba, kwa bahati mbaya Mkapa akaruhusu kwa vipingele vibovu kuliko vile alivyopinga Nyerere, sasa je Magufuli nae angeacha hivyo hivyo.? Hivi nyinyi mnalitakia mema hili taifa kweli.? Au mnashabikia tu.?
Upinzani wenye akili ulikua kama enzi za Zitto, na Slaa, hawa wapumbavu wa saivi hamna mtu ni makapiNyinyi mnataka upinzani wa kuwalamba matako kama ule wa mbowe huuu wa safari hiii mtanyooka tu
Sasa huoni kama hapo nyinyi ndo mnamihemko, umenunua cash ndege Ina miaka minne haifanyi kazi.Watu wengi wa chadema wanafata mkumbo tu.. na tukichekanao watailetea shida hii Tanzania.. we must deal with them perpenducular..
Most units are three bedrooms, self contained. Better than your sprawling uswazi hovels. Najua inawauma ila zoea tuYou are used to being scammed.
Your land?
Your salary slips?
Bedsitter studio apartments, mtakaa familia ya watu wangapi??
Mtazeeka kwenye bedsitter??
Then, It's not for free, paying a mortgage for 30 years.
Paying, who??
While it's your money that built it??