Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania tulishakataa chanjo za mRNA za covid, kuna mpaka Dr mmoja aliongelea hili kwenye TBC, kuwa hazikufuata utaratibu. Sasa ghafla, kampeni ya kuzigawa kwa watu zikaanza, leo hii imeonekana wazi kuwa waliochanja wanapata matatizo ya moyo, wengine kansa. Ilikuwaje CCM ikubali hilo kwa wananchi wake? Ilikuwa ni kumfurahisha nani?
Hawez kukuelewa huyo mfuata upepo
 
Tanzania tulishakataa chanjo za mRNA za covid, kuna mpaka Dr mmoja aliongelea hili kwenye TBC, kuwa hazikufuata utaratibu. Sasa ghafla, kampeni ya kuzigawa kwa watu zikaanza, leo hii imeoneka wazi kuwa waliochanja wanapata matatizo ya moyo, wengine kansa. Ilikuwaje CCM ikubali hilo kwa wananchi wake? Ilikuwa ni kumfurahisha nani?
Sijaelewa topic hii imetokea wapi. Unaweza kuanzisha uzi, nitakuja kuchangia kwa kina na evidences.

Nipo na maelezo marefu sana. Kujadili issue hiyo kwenye thread hii tutakuwa hatuwatendei haki wengine wanaotaka kujua.

Anzisha uzi kisha niite
 
Umesema kuwa hamtaki kuvurugiwa amani ikawaje mkaenda kupokea dawa ambazo tayari huku nyuma mshashauriwa kuwa zitakuwa na madhara na mkaanza kuzisambaza na zimeanza kuleta madhara kwa binadamu , huoni kwamba hiyo ni kuvuruga amani kwa kuua watu wasio na hatia. Pathetic akili ndogo sana🤣🤣🤣🤣
 
Sawa kaka, naona nimekuwa wakuja kwenye maonezi yenu.
Unajua wakenya kwa sasa hawana cha kupoteza. Ogopa sana kukaa na mtu aliyekata tamaa na maisha. He/she can do anything.

Just imagine wakenya wanenda Uganda kujiandikisha kupiga kura. Wanakuja kwa wingi Tanzania kufanya siasa. Halafu unaona kabisa kuwa ni coordinated agenda.

Baada ya kufanya tukio mitandao ya kijamii wanapiga kelele kila kona. Very stupid na unaona kabisa they are paid to do that. Wanalipia mitandao ya kijamii ili taarifa zitembee.

Ndio mbinu hiyo hiyo waliyoitumia wazungu zambia na kukiangusha chama tawala
 
Umesema kuwa hamtaki kuvurugiwa amani ikawaje mkaenda kupokea dawa ambazo tayari huku nyuma mshashauriwa kuwa zitakuwa na madhara na mkaanza kuzisambaza na zimeanza kuleta madhara kwa binadamu , huoni kwamba hiyo ni kuvuruga amani kwa kuua watu wasio na hatia. Pathetic akili ndogo sana🤣🤣🤣🤣
Wewe huna point umeshindwa vitu vidogo tu. Makubwa utaweza?

Lini una verify account yako?
 
Unajua wakenya kwa sasa hawana cha kupoteza. Ogopa sana kukaa na mtu aliyekata tamaa na maisha. He/she can do anything.

Just imagine wakenya wanenda Uganda kujiandikisha kupiga kura. Wanakuja kwa wingi Tanzania kufanya siasa. Halafu unaona kabisa kuwa ni coordinated agenda.

Baada ya kufanya tukio mitandao ya kijamii wanapiga kelele kila kona. Very stupid na unaona kabisa they are paid to do that. Wanalipia mitandao ya kijamii ili taarifa zitembee.

Ndio mbinu hiyo hiyo waliyoitumia wazungu zambia na kukiangusha chama tawala
Sasa mtu mwenye fikra kama zako utasema unajitambua?
 
Back
Top Bottom