concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,314
- 14,357
Mtawaua wenyewe wanalikuwa wanajitapa na Nairobi Mombasa dual wakajua watafunika Dunia kumbe Kuna nchi zinajijenga kimyakimyaThat road is 10km acha ubishi. Hio Mwanza ipe like 3 years, Because there is a project ya kuunganisha Magufuli bridge na Mwanza city more than 35km of dual
Pia Kuna singida dual roads na kigoma pia more than 6km. Na Bukoba wanaconstruct 5km as we speak and those are just municipalities