Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa Kenge badala ya kuwadetain ni kuwaunganisha kwa kesi wafeel joto.

Wajinga sana. Kwanini wasikomae na Gachagua anayeeneza ukabila, Turkana kukosa haki ya mahitaji ya binadamu mathalani chakula.

Miradi kupigwa na kupotea.
Pia gachagua ni upinzani juzi wakati anazindua chama chake amevamiwa na watu wa serikali yao na kufanyiwa vurugu kubwa kuna watu wamekufa, sasa kama hao ni wanademokrasia kwanini wasikemee serikali yao kuzuia vyama vya upinzani kufanya siasa, wameendekeza siasa unaweza kudhani uchaguzi Kunyaland ni keshokutwa
 
Kwahili nawaunga mkono bila upinzani watawala watafanya madudu mengi zaidi ya haya
Ni kweli tunahitaji upinzani lakini wapinzani wanaowaona wakundustan ni watu wa kuwalecture tayari wana matatizo ya akili, pia si sahihi wakundustan kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu kana kwamba wana nguvu au ushawishi wa kuamua tufanye nini.
 
Yes tuta, zita, that's how we do mate,
Kwa mfano some years back you remember,
Tutajenga SGR ya Stima zaidi ya km 2000
Tutajenga Mji wa Kisasa Dodoma
Tutajenga Daraja refu Zaidi Africa Mashariki na Kati
Tutajenga Bwawa Kubwa zaidi la kufua umeme Africa mashariki na kati
Tutajenga Uwanja wa ndege mkubwa sana na Wa Kisasa Dodoma
Tutajenga Barabara ya njia nne 250km toka Igawa Hadi Tunduma
Tutajenga Bomba la mafuta ghafi refu kuliko yote duniani toka Hoima Hadi Tanga ...tuta- tuna-tume
Tutajenga Barabara ya mzunguko wa nje Dodoma km 120+
Tuta
Tuta
Tuna
Zita
Sasa zote zinajengwa/Zimejengwa, plus much more on the pipeline,
Yet in almost one good decade the broke government of the third world kenya has done nothing apart from some scandalous Chines funded, white elephant projects and some mysterious lapset project encompassing the abandoned crude oil pipeline to Mombasa port, non-existent greenfield and firewood driven SGR to nowhere.
Kuna wakunya humu nakumbuka walisema tukijenga hata km 1 ya SGR wangefunga accounts za jf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom