Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma CBD has only 1 dual carriageway
B129 and it's just a small section. 🤣🤣
Magufuli City ndio at least Kuna dual carriageway, but it's a very very small area. Hio ring road a very small section ndio imejengwa.
2 rings highways U/C
Outer
And
Inner
Mtumba has dual carriageway!

BTW Zanzibar n Mbeya have dual carriageway highways too U/C! And we hardly brag! Kwenye hii Maneno mfiche upumbavu!
 
Nyang'au ni hatarii....kwa mchina yupoo..IMF yupoo... Msomali nae ame take over uchumi wa locals... Aibu gani hii kwa kenge hawaaa..

Screenshot_20250518-205352.png
 
Kwani huna macho?
Sasa una brag kwa less than 70 wakat project Moja tu ya dodoma imecover dual carriage zote za Mombasa .
Hapo hatujaweka bahi road to four way 10km
Chimwaga to Benjamin mkapa hospital more than 10
Na vibarabara chungu mzima ambavyo vina less than 3km🤣🤣🤣
 
Dodoma CBD has only 1 dual carriageway
B129 and it's just a small section. 🤣🤣
Magufuli City ndio at least Kuna dual carriageway, but it's a very very small area. Hio ring road a very small section ndio imejengwa.
Kwanini wewe hiwa ni muongo sana.? 🤣🤣🤣🤣. Haya futa huu upumbavu wako kabla sijakuumbua. Mombasa haiwezani na Dodoma hata robo likija suala la dual carriage ways.. na within dodoma CBD there are four sections with four lanes roads. There is aproximately 5 km of dual carriage ways in the city center. While huko pembeni before Dom outer ring road zipo 37 km of dual cariage ways in Dom.
 
Hapo kunyan kuna pesa nyingine uwa wanakopa walipe mishahara ya taasisi za umma na kulipa madeni,nchi ya ovyo

Nchi ya hovyo kweli kweli..

Pesa nyingine huwa wanakopa ili ku stabilize sarafu yao ionekane Ina nguvu..u halisia watu wanapigana kupata unga wa Ugaliii... Sasa kwenye unga wa ngano sijui huwa inakuwaje!? Au hawana utaratibu wa kuandaa vitafunwa asubuhi kwenye nyumba zao!!???

Screenshot_20250518-210700.png
 
Bwana nairobae Hizi hapa dual carriage ways in Dom. 👇🏾 Iyumbu 11.1 km View attachment 3338449View attachment 3338450sub section yake hii hapa UDom road 1.5 kmView attachment 3338451hizi pekee ni 12.6 km. Dual carriage way.

nairobae kunazo 21 km dual carriage ways out of 51 km total roads at Magufuli city. 👇🏾View attachment 3338453.. chukua zile 12.6km za iyumbu changanya na hizi 21km za Magufuli city. Hizo ni 33.6 km dual carriage ways.
Sasa bwana nairobae chukua hizi changanya na 150km of Dodoma outer ring road and dom inner ring road.. hesabu inakuja hapa👇🏾

150km+ 33.6km=183.6 km. Hizi ni kando ya zile carriage ways zinazoenda IKULU na Airport. na zile sections za CBD. 🤣🤣
Haya mombasa itatia pua hapo.? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom