Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilifi yenye 40km Iko kilifi county sio Mombasa county only road kwenye project kwa Mombasa ni mombasa-mtwapa ambayo 16 km only🤣🤣🤣
Hizi argument za metro vs city nilikuambia sitozirudia bro. If you can't understand simple metrics of urbanization then this discussion is not for you.🚮🚮🚮
 
Hiyo 6.5km Iko wapi? Bro, unachizi. Halafu hiyo 47km wapi imeandikwa kuwa dual carriageway?
We kama umeamua kulia nimekwambia lia. 🤣🤣 hii habari nadhani uliipost pia.. 👇🏾
IMG_7637.jpeg
kwa kiswahili hapo imelezwa hivi:-

Zitajengwa km 3.1 barabara mpyaa
Zipanuliwa km 3.4 barabara iliyokwisha kuwepo.

therefore we gonna have 6.5km of new dual carriage way. Hapo huelewi nini mzee.? 🤣🤣🤣
 
We kama umeamua kulia nimekwambia lia. 🤣🤣 hii habari nadhani uliipost pia.. 👇🏾View attachment 3338500kwa kiswahili hapo imelezwa hivi:-

Zitajengwa km 3.1 barabara mpyaa
Zipanuliwa km 3.4 barabara iliyokwisha kuwepo.

therefore we gonna have 6.5km of new dual carriage way. Hapo huelewi nini mzee.? 🤣🤣🤣

Finyaaaaaa hio mbilikimo. 🤣🤣🤣
Wewe nduguyo leo ni kichapo tu. 🤣🤣🤣
 
Niliangalia na hakuna cha maana, town center ina dual carriageway moja. 🤣🤣🤣 Na ni a major road.
Haya hizi nilipima ili Ukirudi watu wauone upumbavu wako. Hizi hapa dual za town. 👇🏾NCC link 1.4km
IMG_7621.jpeg
IMG_7632.jpeg
hii hapa ingine 👇🏾1.5km
IMG_7627.jpeg
IMG_7633.jpeg
nyingine 👇🏾2.5km
IMG_7635.jpeg
nyingine hii 600 meters
IMG_7634.jpeg
🤣🤣🤣 sasa sijui unajificha kichaka gani
 
Hizi argument za metro vs city nilikuambia sitozirudia bro. If you can't understand simple metrics of urbanization then this discussion is not for you.🚮🚮🚮
Basi kwanza nikubali tuweke na hiyo kilifi yako dodoma tu itakuwa dual roads zaid ya km 400
Naomba uchukue km zote za Mombasa metropolitan Mimi ntadili na dodoma tu halafu tufikie mwafaka🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom