Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which inner ring roads? BTW aside from Dodoma and Nairobi road in Arusha, which other road is a dual carriageway in Tanzania outside Dar?
Baada ya kubanwa mbavu na Dodoma. Ujuaji tu

Check out dual carriageways in kigoma from Ujiji to mwandiga via mwanga, visit other towns like singida, iringa, Mwanza airport road 10km, etc.
 
Sasa wakenya mnadhani Tanzania ni nchi yenu. Kwanza wamewafanyia huruma tu. Walitakiwa watiwe ndani na kisha washitakiwe kijeshi kwa kuingia owenye mipaka ya Tanzania kutetea uhaini.

Nakuhakikishia that was a warning akirudi tena, mtaniambia matokeo.
Hapo nakubaliana na Uhamiaji, nchi yake ina matatizo lukuki halafu anakuja kutafuta umaarufu huku, adili na matatizo ya nchi yake.
Mimi hapo naona wamemsitiri sana. 😂😂😂
 

na wewe umeingia kwenye mfumo😂😂
IMG_6611.jpeg
 
If you genuinely believe Dodoma has 400km of dual carriageways then you're too stupid and uninformed for this debate. If you're joking then I see no need to continue engaging you. Either way, the discussion is over.🚮🚮
Elewa maana zikiwa complete umepewa🤣🤣🤣🤣
Nearly complete 174.3 km hiyo ni ring road lot 1 and 2
Kuna ujenzi wa inner roads ambao uko kwenye procurement stage ambayo ni dodoma moro 263 km ila kwa dodoma tu ni 70km singida Dom 40 km Arusha Dom 40km na Dom iringa zote hizo ziko kwenye hatua ya manunuzi,( tendering)
 
If you genuinely believe Dodoma has 400km of dual carriageways then you're too stupid and uninformed for this debate. If you're joking then I see no need to continue engaging you. Either way, the discussion is over.🚮🚮

Huwa tunapenda kwa data jumlisha hizo halafu utuambie zikikamilika unapata km ngapi za dodoma🤣🤣🤣🤣
chrome_screenshot_May 18, 2025 11_27_08 PM GMT+03_00.png



chrome_screenshot_May 18, 2025 11_25_57 PM GMT+03_00.png
 
Baada ya kubanwa mbavu na Dodoma. Ujuaji tu

Check out dual carriageways in kigoma from Ujiji to mwandiga via mwanga, visit other towns like singida, iringa, Mwanza airport road 10km, etc.
Mwanza city having only 10km of dual carriageway is actually a Shame not a flex.

Edit,
Airport road is not even 10km, it's 8.7

Screenshot 2025-05-19 082001.png
 
Tuliendesha hizi in the 80's kwenye fete pale mnazi mmoja. NairobiWalker anafikiri eti exposure kwa watanzania iko nje tuu.
Go kart ndio kitu cha kutishia watu bro? 🤣 🤣 🤣
Alafu by exposure simaanishi hizi vitu haziko kwenu, namaanisha umetembea ukaona maisha yalivyo kwa nchi zengine so huongei out of ignorance. Najua unaumia kisa nilikuambia kwa ile post ya KQ unabehave kama mtu hana exposure which is true. Your post was showing a lot of ignorance. Only someone who hasn't travelled, lacks exposure and is stupid can reason like that.
 
na wewe umeingia kwenye mfumo😂😂
View attachment 3338586
Utopolo bana…
 
Mwanza city having only 10km of dual carriageway is actually a Shame not a flex.

Edit,
Airport road is not even 10km, it's 8.7

View attachment 3338612
That road is 10km acha ubishi. Hio Mwanza ipe like 3 years, Because there is a project ya kuunganisha Magufuli bridge na Mwanza city more than 35km of dual

Pia Kuna singida dual roads na kigoma pia more than 6km. Na Bukoba wanaconstruct 5km as we speak and those are just municipalities
 
Back
Top Bottom