Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tena leo story imechange to Pizza inapika nyumbani? Si huko mbeleni Mlisema Pizza ni junk na ni bad for health? How come tena manzi pika nyumbani?

Anyway what I know hizi zote are just excuses of not eating Pizza.
Kichaa wewe Tanzania most of junks foods tunapika nyumbani.
Naweza hata nikakurekodia video Mimi nikipika hiyo pizza unayoila kwa bei kubwa hapo Nairobi.
Kenya washamba wa vyakula ndio maana hata chapati mnaona kama chakula Cha anasa.
Washamba nyie .
 
Pizza, Burger ni american foods.

Sioni ufahari wowote wa kula foods za aian hiyo.

We have our own delicious foods
Pia ukiachana na hilo kaka Tanzania ni mafundi wa vyakula hivyo vyakula kwetu tunapika nyumbani hatuna ulazima kwenda mahotelini ama mall n.k n.k.
Shida Kenya mapishi hawajui ni washamba wa vyakula.
 
Wana maisha ya ushamba ushamba mwingi sana aisee 😂😂😂😂😂😂.
Mimi siwalaumu sana.

Unajua Kenya SLUMS nyingi zimejengwa KITUMWA.

Yaani kunakuwa na RICH ESTATE karibu na SLUM, then watu wa SLUM wanafanya kazi kwenye RICH NEIGHBOURHOOD.

Kwahiyo, wanakuwa wanaona, wakipata vipesa wanahama hapo SLUM wanenda kupanga kwenye vi-apartment kwenye rich neighbourhood, ambako unakuta kuna migahawa, na malls.

Ndio ndoto zao, ndio maana ushamba mwingi.
 
Kichaa wewe Tanzania most of junks foods tunapika nyumbani.
Naweza hata nikakurekodia video Mimi nikipika hiyo pizza unayoila kwa bei kubwa hapo Nairobi.
Kenya washamba wa vyakula ndio maana hata chapati mnaona kama chakula Cha anasa.
Washamba nyie .
Ebu tuna hiyo video tuone, I know hakuna kitu unajua kupika hapo.
 
Kichaa wewe Tanzania most of junks foods tunapika nyumbani.
Naweza hata nikakurekodia video Mimi nikipika hiyo pizza unayoila kwa bei kubwa hapo Nairobi.
Kenya washamba wa vyakula ndio maana hata chapati mnaona kama chakula Cha anasa.
Washamba nyie .
Pizza inapikwa kweli 😂😂😂😂
 
Hawa mbwa wanafuata nn Tanzania 🇹🇿
1000040324.jpg
 
Wapi yenu? There is no African Country that can come close to Kenya in terms of affordable housing. We are building the housing all over the country sio hiyo ya Rwanda that is only one project in Kigali.
If what you say is anything to go by, why do you hold a significant number of slum dwellers?
 
The vessel was built in 2018, and is sailing under the flag of China. Her length overall (LOA) is 180 meters, and her width (beam) is 32 meters. Her summer deadweight capacity is 40,090 tonnes. Track the live position of ZHONGGU BEIJING with AIS data from satellites, terrestrial and dynamic AIS sources.

However in dar
The "Angeliki" is a container ship with a carrying capacity of 7,900 TEUs (Twenty-Foot Equivalent Units). This means it can hold approximately 3,950 40-foot equivalent units. The Angeliki is part of Navios Partners' fleet and is designed to be eco-friendly, featuring methanol-ready capability and other
View attachment 3337615
Naona mmeamua kuanza kuirushia bandar yenu mizigo baada ya kuona haipati wateja
Hapo Kwa transshipment for Dar is a slum port bado inaendelea kunipa raha zaidi. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom