Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So huyu environmental activist mmoja anafanya mnafikiria ni mataifa ya wazungu zinapinga maendeleo yenu., huyu ni environmentist an advocate of clean energy, na pia anapinga ujenzi wa Nuclear plant in Kilifi hapa Kenya., so nyie mtasema Tanzannia mnaonewa na Kenya kwa akili zenu? mko hovyo kweli..,
View attachment 3333347
From
"Name them, weka evidence propagandist.., it's in the public domain tuone ni akina nani., who can stop global banks from financing such a project ., ujinga mzigo"

To
"So huyu environmental activist mmoja"

Hayo yote ni makasiriko ya kukosa fursa za EACOP.
 
Alipigwa kwasababu alifichua aibu ya wanafunzi kusoma chini ya mti. Uki expose umaskini au shortcomings za serikali huko bongoslum utapigwa au upate other consequences. Huko kazi ni kusifu CCM na Mama, kila mahali lazima muweke picha za Samia ili ionekane nchi iko sawa. 🤣🤣🤣
China/North Korea dictatorship type
 
From
"Name them, weka evidence propagandist.., it's in the public domain tuone ni akina nani., who can stop global banks from financing such a project ., ujinga mzigo"

To
"So huyu environmental activist mmoja"

Hayo yote ni makasiriko ya kukosa fursa za EACOP.
Sawa basi.., uko sahihi kwa mtazamo wako, pumzika kwa amani tu hehe
 
Umesema tunachukiwa mtandaoni, nikakuletea source ya mtandaoni inayoonyesha tunapendwa na hiyo hiyo nchi uliyosema inatuchukia hata kuliko wanavyompenda, saahii umegeuza goli unaongelea kuhifadhi wapiganaji, nikiletea source utageuza goli tena so heri nikuache ujifurahishe.😂😂
Kwikwi kwanza tuwaache ila Tanzania sio wale mliokuwa mmezoea wa kuwakalia kimya🤣🤣🤣🤣🤣
 
Asa wewe una ujanja gani.? Heb tuanzie hapo. 🤣🤣🤣🤣 haujui kiswahili na kiingereza pia hujui. 🤣🤣🤣 wewe ni kama mzuka pande zangu.
Lugha yako hii hapa.., tazama Mombasa aka Dhaka Bangladesh..,
1747210464210.png
 
Sasa kama vimeshikiwa mkono umepataje hiyo habari kumbe hata Mimi naweza nikapost habari yoyote bila hata kutegemea mwandishi🤣🤣🤣🤣🤣.
Sasa hoja ya serikali kuficha umaskini umeifuta rasmi 😝😝😝mwenyewe
Very few ndio wanachapisha, wengi wanaogopa including vyombo vya habari ambao wako Kwa mfuko ya CCM.
 
Back
Top Bottom