Huyo hua tunadeal na yeye daily, hata yeye anajua.Na wewe wacha upumbavu keyboard warrior mbona hum-face Ruto?
Huyo hua tunadeal na yeye daily, hata yeye anajua.Na wewe wacha upumbavu keyboard warrior mbona hum-face Ruto?
Context mzee, context.Ndio maana nimesema mapema.
Ninyi huwa mna-share humu mpaka Renders, tunawacheck tu.
Ndio akili zao izo za mgando washakua watumwaTuliendesha hizi in the 80's kwenye fete pale mnazi mmoja. NairobiWalker anafikiri eti exposure kwa watanzania iko nje tuu.
Tumemruhusu tayari mmempa approval ya presidential candidacy
View: https://x.com/Edwin_mbosso/status/1924412927898992916?t=h-3nfGEpBXODp0I4lGD-7Q&s=19
Approval alipewa kitambo, pengine wewe ndio ulizaliwa jana.
Pia Bagamoyo port Mta-Yes tuta, zita, that's how we do mate,
Kwa mfano some years back you remember,
Tutajenga SGR ya Stima zaidi ya km 2000
Tutajenga Mji wa Kisasa Dodoma
Tutajenga Daraja refu Zaidi Africa Mashariki na Kati
Tutajenga Bwawa Kubwa zaidi la kufua umeme Africa mashariki na kati
Tutajenga Uwanja wa ndege mkubwa sana na Wa Kisasa Dodoma
Tutajenga Barabara ya njia nne 250km toka Igawa Hadi Tunduma
Tutajenga Bomba la mafuta ghafi refu kuliko yote duniani toka Hoima Hadi Tanga ...tuta- tuna-tume
Tutajenga Barabara ya mzunguko wa nje Dodoma km 120+
Tuta
Tuta
Tuna
Zita
Sasa zote zinajengwa/Zimejengwa, plus much more on the pipeline,
Yet in almost one good decade the broke government of the third world kenya has done nothing apart from some scandalous Chines funded, white elephant projects and some mysterious lapset project encompassing the abandoned crude oil pipeline to Mombasa port, non-existent greenfield and firewood driven SGR to nowhere.
Kuna wakunya humu nakumbuka walisema tukijenga hata km 1 ya SGR wangefunga accounts za jf 😂😂😂
Reborn Ktb ulisema Makwapa kukinyesha kuko aje? 🤣🤣🤣
View: https://x.com/xlusako/status/1924039128087138316?t=2UqDPR3Ct1Kkh-LDBpXBZw&s=19
Sasa hivi tuna sirikali mdebwedo hawawezi kuomba msamahaHawa wapumbavu wanasahau haraka kweli, wameshasahau TV yao ilimuomba Magufuli msamaha wiki nzima 😂😂😂
Mzee na weakness yao at least wana bunge nusu chama tawala nusu upinzani! sasa kwa wanachofanya CCM ni ubinafsi na wanaenda kushinda 100%! Haikubaliki!Sasa wakenya ndio wa kutufundisha siasa watanzania? Halafu mahakama haina siasa, hawa ni commercial activists isitoshe EAC hatuna political coalition, nini kinawaleta Tanzania?