Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umewai skia mkenya hapa aki complain kuhusu foreigners? Nyinyi bongolala ndio mnakuanga hypocrites, complaining about everything that happens in Kenya, sasa naona mshaanza kucomplain eti Kenya kuna vernacular media, yes tukonazo and we love them. Mkona shida na our local languages kwa media stations lakini hamna shida na wachina kutumia lugha yao everywhere across every establishment in dar is a slum. True hypocrites. 🤣 🤣 🤣
Sasa Wakenya Wa-Complain nini kuhusu foreigners wakati nchi mlishauza na mkagawana kila kitu.


View attachment 3335963
 
Huyo hua mjinga, I rarely engage him. 🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 Najua unaniogopa. Mimi naongea facts ukileta ujinga unakula za uso, Taarifa zote za kenya civil Aviation zipo hapa 👇👇👇👇

 
Eastleigh.

May be an image of skyscraper and text
Somali effects

Wapeni na Urais kabisa


View: https://www.instagram.com/reel/DJs_TE5teEb/?igsh=am96ZzVlNGtzdXhu
 
Advertisements zao kila mahali si wanafanya na kichina. Yani Dar is a slum kila mahali inageuzwa China Town. Lakini shida yenu kuu ni vernacular media in Kenya. 🤣 🤣 🤣
Sasa unaumia.?let’s assume hizo adds zao zipo kila mahali, wewe unateseka.?
 
Moto unaendelea kuwaka. Majirani wanaumia.

Mradi Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Serengeti
Hii inawauma sana wakenya. Tunaendelea kuwasogelea
210. Mheshimiwa Spika, katika mwakawa fedha 2025/26, mradi huu umetengewa jumlaya Shilingi bilioni 3 fedha za ndani kwa ajili yakukamilisha Upembuzi Yakinifu na Usanifu waKina na kuanza ujenzi wa Kiwanja kipya cha Ndegecha Kimataifa cha Serengeti. Kiwanja hikikitajengwa kwa kuzingatia mazingira (ecosystem) nakujulikana kama Green International Airport nakitafungamanisha Sekta ya Utalii na kuchagizashughuli za utalii kwa kuwa kiunganishi naviwanja vya ndege vya kimataifa nchini.
 

Tanzania has a total of 14 cement factories (The surplus cement produced is exported in EAC and SADC)​


Tanzania has a total of 14 cement factories. Of these, seven (7) factories produce clinker and cement and seven (7) factories produce cement only. The country’s cement factories produce 8 clinker which is an important raw material for the manufacture of cement products. These factories have an installed capacity of producing 8,096,375 tonnes of clinker raw material per year.

The actual production of clinker in the country is 7,104,000 tonnes and the demand for clinker raw material in the country is 5,549,901 tonnes. Thus, there is a surplus of 1,554,099 tonnes which is sold to the East African Community (EAC) and Southern African Development Community (SADC) countries.

Domestic cement production in 2024 was 10,929,567.60 tonnes, while domestic demand is approximately 8,500,000 tonnes per year. Thus, there is a surplus of 2,429,567.60 tonnes which is sold in the markets of Rwanda, Malawi, Mozambique, Burundi, Uganda, the Democratic Republic of Congo (DRC) and Zambia.

Cement producing and exporting industries include Dangote Industries Ltd, Tanzania Portland Cement PLC, Lake Cement Co. Ltd, Mbeya Cement Co. Ltd, and Tanga Cement PLC. The sector has provided 12,500 jobs, of which 5,220 are direct jobs and 17,280 are indirect jobs.
 

Tanzania has a total of 36 fertilizer manufacturing plants​

Tanzania has a total of 36 fertilizer factories. Of these factories, two (2) large factories are Minjingu and Itracom Fertilizer Limited, one (1) medium factory is YARA and 33 small factories
 

Tanzania has a total of four (4) glass manufacturing factories.​


Tanzania has a total of four (4) glass manufacturing plants. The plants are Kioo Ltd; Salehbhai Glass Industries Ltd; Sapphire Glass Industrial Limited; and Keda Float Glass T. Ltd. Kioo Ltd produces beverage bottles and the remaining plants produce household glass.

More than 95 percent of the raw materials used by Sapphire, Kioo Ltd and Keda to produce products are available in the country. These raw materials include dolomite, silica sand, limestone and feldspar.
 
Back
Top Bottom