Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Very few, huoni hata wenzako wana complain kupata habari kama hizo bongoslum ni ngumu.
Sasa umezipataje mfano ?
Kwa sababu zingekuwa ni kesi nyingi ungezisikia ila ni chache sio kwa rate kubwa kama Kenya.
Mfano tu. Tukija kwenye rate ya nyumba za tope za Mombasa tukaenda hata kigoma hapo Tena mjini Mombasa Ina nyumba nyingi za tope kuliko kigoma.
😝😝😝😝
 
Yeah easy , hela ndo kila kitu unaweza hamisha watu ukajenga low cost housing ukawapeleka makazi mapya unatenga like 300mil usd wizara ya ujenzi ndani ya miaka mitano umeondoa slums, kama tunaweza kufufua ATCL hii haiwezi kutushinda
Binafsi siyo muumini wa majumba ya aina hiyo.

Hiyo ni CONCRETE jungle.

Tusijekuwa kama MISRI.

Screenshot_20250514_112233_X.jpg
 
Mjinga ni yule haoni objectivity, anadhani anaonewa wivu, hamjazoea kupingwa by activists, hawana mapendeleo or bias, niondolee upumbavu wenu wa kifukara, nyambaff..,
After Ug kukataa bomba kupita kwenu ndo mnaona "objectivity"
Unaona namna unaruka ruka mjinga wewe.
Mafukara wenye jiggers ninyi.
 
Mnatakiwa kujali ya kwenu na sio kujifanya mnajua kuchungulia ya wengine😝😝😝😝😝
So mtu moja ni Kenya eti?, tafuteni elimu bora, itawasaidia kushirikisha ubongo kwa hoja, mnakurupukaga tu ovyo ovyo bila uelewa., you are a pathetic lot!🤮🤮🤮.,
 
Media are owned by their respective owners for their agendas.

Dunia ya smartphone, bado unalia lia na media??
The media still controls the narrative. Wacha kujifanya fake woke na a very small percentage of your population ndio wanamiliki smartphones.
 
Back
Top Bottom