Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kuna wale mapungu wanaotutambiaga wakipanda matatu kwenda kushangalia vi timu vyao vya mchangani. 🤣🤣🤣. Haya waje hapa. Hawa hapa ni Simba fans from Dar to Morocco wanaenda kuangalia fainali ya caf confederation cup SIMBA VS RS BERKANE. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DJn89t7KEDU/?igsh=YXhxc2FxMDEwa3hk.
View: https://www.instagram.com/reel/DJn89t7KEDU/?igsh=YXhxc2FxMDEwa3hk.