concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Elimu ilitakiwa iwasaidie kunyanyuka na tulitegemea mngeondokana na njaa na nyumba za tembe kabisa lakini usomi wenu ni WA kuongea na kulaumu na kutafuta visingizo na kujua kutukana🤣🤣🤣.So mtu moja ni Kenya eti?, tafuteni elimu bora, itawasaidia kushirikisha ubongo kwa hoja, mnakurupukaga tu ovyo ovyo bila uelewa., you are a pathetic lot!🤮🤮🤮.,
Mtu aliyeelimika hukwepa migogoro na kutumia njia ya upole kufanikisha mambo yake.
Ni kama Chinese to USA .usa anabwatuka ila wenzie kimya mwisho wa siku 🤣🤣🤣🤣
Kenyan hamjaelimika , mmesoma kwa kukariri ila hiyo elimu hamna tukianzia na humu .
Unaweza soma mpak PhD ila ukawa huhaelemika?