Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Yani unaitaja pwani kulinganisha na hako kamtaa na viwonder tatu.? Behave bro.Naona huijui pwani, pwani ina viwanda zaidi ya 100 na most of them use Gas as energy source
Yani unaitaja pwani kulinganisha na hako kamtaa na viwonder tatu.? Behave bro.Naona huijui pwani, pwani ina viwanda zaidi ya 100 na most of them use Gas as energy source
It can, your local media is controlled by the government. Nyinyi wenyewe ni waoga, hua munaiogopa serikali yenu.Kwahiyo serikali itazuia watu wasipige picha watu wenye jiggers. 😝😝😝😝😝
Evidence ya kuogopa serikali ni ipo kwa mfano?It can, your local media is controlled by the government. Nyinyi wenyewe ni waoga, hua munaiogopa serikali yenu.
Zipo ila hamna chuki nao na hamwafuatilii kama mnavyotufuatilia.Kwa nini hatukusikia kelele kama hizo kutoka Rwanda, Burundi ama Zambia? kwani huko hakuna NGOs?
Huna mada yoyote ya maana unayojadili manzee 🤣🤣🤣 ni empty talks unatueleza. Kwahiyo unajiona mwenyewe una akilii kwa kuandika hivyo.? Hapo unajiona umechangia mada kitaalamu kinoma eti.? 🤣🤣🤣 kuna wapumbavu wengine wala sikutarajia kukutana nao kwenye huu uso wa dunia.Stick to pictures mjukuu🤣🤣🤣🤣., hauwelewi chochote., Magufuli city Dodoma iko vipi 2025?., niletee picha..,
Hakuna mtu hajui hua munaficha aibu huko bongoslum. 🤣🤣🤣Evidence ya kuogopa serikali ni ipo kwa mfano?
Hawawezi hata kushindana na project za Songoro Marinekuna mbwa hudai ati hujenga meli zetu!
Hizi zama za mitandao ya kijamii unafichaje taarifa?Sawa endeleeni kupambana.
Hawana Cha maana wanajitapa na vigorofa uchwara tu.View attachment 3332950Nimejaribu kucheck issue ya mishahara ya umma, Kenya kumbe ni kweli.
Hawa watu wana uchumi FAKE sana.
Is it about NGOs really!.., so if there wasn't any voice from the mentioned countries and some entities in Kenya or elsewhere raised an environmental concern, so ina maanisha according to you it's an indication eti mko vizuri?., ama ?🤔Kwa nini hatukusikia kelele kama hizo kutoka Rwanda, Burundi ama Zambia? kwani huko hakuna NGOs?
Labda tukianza tu kwenye chuki kati ya Kenya na Tanzania nani anaongoza kwa kuwa na chuki na majirank zake?Zipo ila hamna chuki nao na hamwafuatilii kama mnavyotufuatilia.
La pili, Kenya is the hub of free speech and democracy in the region ndio maana hata nchi jirani wakitaka kuongea kiuhuru wanakujua Kenya.
Ambao hata hawana dry dock. 🤣🤣 Sasa tutashindana aje na watu hawana proper infrastructure.Hawawezi hata kushindana na project za Songoro Marine
Picha iko wapi?.., riyawa ni ya nini?., 🤣🤣., size yako ni picha.🤣🤣Huna mada yoyote ya maana unayojadili manzee 🤣🤣🤣 ni empty talks unatueleza. Kwahiyo unajiona mwenyewe una akilii kwa kuandika hivyo.? Hapo unajiona umechangia mada kitaalamu kinoma eti.? 🤣🤣🤣 kuna wapumbavu wengine wala sikutarajia kukutana nao kwenye huu uso wa dunia.
🤣🤣 Mbona munapiga watu wakupeana taarifa?Hizi zama za mitandao ya kijamii unafichaje taarifa?
Mwenyewe hapo unajiona bonge la genius. 🤣🤣🤣 unajiona umeandika point kisenge.. 🚮.Is it abo
Is it about NGOs really!.., so if there wasn't any voice from the mentioned counties and some entities in Kenya or elsewhere raised an environmental concern, so ina maanisha according to you it's an indication eti mko vizuri?., ama ?🤔
Huko keko watu wanahama linageuka kuwa eneo la viwanda.Did you mention water and sewer system ndani ya hizo nyumba?🤣🤣🤣🤣
Yani wewe mtu hujui hata sewer system inakaaje unatoa wapi nguvu ya kumention mambo sewerage system? Mibongolala wa Dar hutumia pit latrines
View attachment 3333153
And you also said proper roofs? Kwamba these are proper roofs? Hizi hapa?🤣🤣🤣View attachment 3333148View attachment 3333149View attachment 3333150View attachment 3333151View attachment 3333152
Just like most of you here, you have to find solace in Kibera everytime you are cornered. It's just 2.5 square kilometers, way too small to compare with your sprawling uswazi hovels that cover your entire cityscape
Pwani ina battle na Big cities za Kenya kwa Viwanda most likely mombassa au hata nairobi, ni kweli niliishusha hadhi kui compare na vitu vya kijingaYani unaitaja pwani kulinganisha na hako kamtaa na viwonder tatu.? Behave bro.
Riyawa ❌ Riwaya✅ 🤣🤣🤣Picha iko wapi?.., riyawa ni ya nini?., 🤣🤣., size yako ni picha.🤣🤣
Kwa kupost hii picha umekubali kuwa huwezi ficha taarifa zama hizi za mitandao ya kijamii.
Unyonge na uwoga, Kisha language barrier ndio tatizo kwenu, ni Kenya pekee mnaweza zungumza nao Kiswahili, hapa ni wazi sana.., la sivyo nyie wagomvi sana wachokozi na wingi wa wivu na porojo.,Labda tukianza tu kwenye chuki kati ya Kenya na Tanzania nani anaongoza kwa kuwa na chuki na majirank zake?
Tukija kwenye mitandao tu Kuna chuki kati
Kenya versus Nigeria
Kenya versus Uganda
Kenya versus tanzania
Kenya versus Sudan
Actually ni karibia Kila nchi mnaugomvi nazo
Haya tutajie Tanzania Ina ugomvi na nchi gani