Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This reasoning is so pedestrian for someone like you🤣🤣🤣., umeshuka level ya akina The best 007 na Sama boy 255 and the team 🤣🤣🤣🤣🤣, hizi ndio fikra zao, zero logic and critical thinking., man this is outright fallacy🤣🤣, eti wakiponda sera za maendeleo mko vizuri how? What areas have Tz critiques pointed out? Can u put forth an example of a news criticizing your devt? if such happens it's relative, it can mean different things, not necessarily eti mko vizuri, boss🤣🤣🤣🤣., I agree CCM has sera na mikakati mizuri, but mostly it's on paper.,
We jamaa ni katika watu mafala humu ndani, unataka watu wakubaliane na mitazamo yako humu ndani ambayo ni kimsingi ni uongo ni upumbavu.. unachagua kuwatukana watu kwasababu ya chuki na ukilaza ulionao. 🤣🤣🤣🤣 no wonder nakuitaga jitu zima pumbavu
 
Hata sasa hivi Dar inawezekana wakiamua. Weka sheria kali za kusimamisha ujenzi holela, rekebisha yale maeneo yaliyojengwa hovyo, basi, mambo yatakuwa safi.

Kutakuwa na collateral damage za hapa na pale lakini tuangalie faida ya miaka 50 ijayo.
Yeah easy , hela ndo kila kitu unaweza hamisha watu ukajenga low cost housing ukawapeleka makazi mapya unatenga like 300mil usd wizara ya ujenzi ndani ya miaka mitano umeondoa slums, kama tunaweza kufufua ATCL hii haiwezi kutushinda
 
Building houses is so cheap for Tanzania , ngoja kwanza tu deal na vitu vikubwa kama tunaweza jenga sGR na kununua ndege , low cost housing scheme ni project rahisi sana
Kiswahili empty na uswazi ndio standards 🤣🤣🤣🤣.,
 
Hehe kigoma in a udongo mwekundu na hakuna infection kama zenu na huwez Kuta mtu Yuko infected kama kwenu mpaka miguu inapasuka, hiyo ilikuwepo miaka 20 nyuma ila nyinyi mpaka Leo hakuna.
Tena sababu kuu ya kigoma na tabora kuwa na jiggers ilikuwa ni wakimbizi
Na kwenye historia inatueleza huko western regions hao wadudu walimwagwa huko na wazungu ili kuwadhohofisha resitants.
 
We jamaa ni katika watu mafala humu ndani, unataka watu wakubaliane na mitazamo yako humu ndani ambayo ni kimsingi ni uongo ni upumbavu.. unachagua kuwatukana watu kwasababu ya chuki na ukilaza ulionao. 🤣🤣🤣🤣 no wonder nakuitaga jitu zima pumbavu
Wewe ni pedestrian humu, Wacha kelele, niletee picha za Dodoma, usinipitozee wakati mjukuu🤣🤣🤣🤣.,
 
Just because you hide it haimasnishi hakuna. Nyinyi tunawajua Kwa kuficha umaskini na aibu.
Umaskini haufichwi , records lazima zingekuwepo tu. Ni cholera ikitokea lazima utapata ripot . Na hata ukienda kigoma the amount ya infection ya jiggers ni kama haipo .
Unafichaje data wakati kigoma karibia Kila taasisi ya kimataifa hasa zinazohusika na wakimbizi, usalama wa taifa , cia and the like wapo?
 
Heb leta tena zile nyumba zako za mombasa. 🤣🤣🤣🤣 sahii huzipost tena.
Sasa hapa ndio tunaelewana, ndio level yako, ndio lugha unayoelewa, usitoke hapa, this is your lane 🤣🤣🤣🤣., maneno mingi Wacha🤣🤣
 
Sasa hapa ndio tunaelewana, ndio level yako, ndio lugha unayoelewa, usitoke hapa, this is your lane 🤣🤣🤣🤣., maneno mingi Wacha🤣🤣
I do not think if you are any better. Wewe ni wakawaida tu kama wadogo zangu kule nyumbani kwetu. You ain’t any better my bafoon bro.
 
Back
Top Bottom