Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Choo cha Shule Mzee! Hatujivunii mambo ya Kenya hadharani!
Soma na uelewe we mzee, si nilidhani kwenu hakuna. 🤣🤣🤣

Screenshot_20250509-194931.jpg
 
Umia pole pole. Unaona slums wapi hapa?

Syokimau-18.jpg


Syokimau-22.jpg
Achana na huyo mtanganyika. Wamejaza jiji lao na uswazi Kila sehemu wanadhani Nairobi hali ni hivyo hivyo. Now they're looking for excuses just so that they find solace. When you see them say foreighners wanamiliki apartments Nairobi, just know that ni maumivu just because they can't come close. Hata wao pia ni foreighners waje wajenge hizo apartments nao pia wawe wamiliki
 
Tuongee kwa evidence sio kwa maneno zilete hizo bungalows kwanza
This is Runda from the sky.
images - 2025-05-09T212853.010.jpeg
images - 2025-05-09T213153.794.jpeg

And this is Masaki, your most affluent estate, from the sky full of apartments
images - 2025-05-09T221407.589.jpeg
poster_17386747579343_peninsulahoteldaressalaam1.jpg

Do you see any resemblance? Ni wapi Kuna bungalows?

You will NEVER find apartments in Runda hata etembee hadi wapi na hivyo ndivyo hali ilivyo kwenye hizo mitaa zingine niliyotaja hapo awali
 
Sijafika masaki ushakimbilia huko masaki ni mji wa zaman sana ila bado itakukimbizeni.
Leta evidence za hayo mabungalow Mimi nimeleta video za nyumba za kawaida sana Tena kwenye makazi ya watu wa kawaida sana, kijichi asilimia kubwa wanamiliki watu wa kipato kidogo hatujafika sehem kama mbweni na mikocheni
Is Masaki not your most affluent estate? The one mnatutajia hapa Kila siku?

Wewe unaleta video ya selected houses just to massage your ego. Videos kama hizo naweza kukutolea even deep in Kahawa Sukari or Lang'ata, which are not affluent estates in Nairobi. Aerial views give the true picture of a place, not some random selected videos.

Mbweni na Mikocheni yenyewe bado ni apartments kama tu zile za Kileleshwa though the latter is much better
 
Sasa unawezalinganisha hizo nyumba na zile uswazi zenu zilizotapakaa kila mahali ba mabati zilizoliwa na mchwa?
UMmeshindwa leta mfano wa street zilizoko runda tulinganishe unatuletea aerial view, kwa sababu hata ukizivuta hizo unazoziita bungalow ukajaribu kufananisha na hizo unazoziita apartment bado hizo apartments ziko vizuri kama unabisha leta street view tu
 
Is Masaki not your most affluent estate? The one mnatutajia hapa Kila siku?

Wewe unaleta video ya selected houses just to massage your ego. Videos kama hizo naweza kukutolea even deep in Kahawa Sukari or Lang'ata, which are not affluent estates in Nairobi. Aerial views give the true picture of a place, not some random selected videos.

Mbweni na Mikocheni yenyewe bado ni apartments kama tu zile za Kileleshwa though the latter is much better
Bungalow ukajenge kwenye acre Moja?🤣🤣 Bungalow zinajengwa kwenye mahekta na ndo ilivyo kwa Tanzania Kuna watu wamejenga mabungalow ndani kama rubgwe ya mbeya wanatumia helkopta tu kuja dar? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom