Bora hata CCM.Hivyo ndio CCM walikudanganya.
Kenya mnatumia maisha yenu yote kupambania genge lile lile la wahuni miaka yote with just different political party names.
Kenya = A stock capitalist corporation.
Kampuni ya HISA
Bora hata CCM.Hivyo ndio CCM walikudanganya.
Propaganda ya CCM. 🤣🤣 Vile tu wanaambiwa wakenya hawamiliki mshamba, wakenya ni maskini, Nairobi wengi wanaishi kwa slums, and other propganda. Until wakuje Kenya then wanaanza kufunguka kama Baba Levo.Huyo jamaa amenishangaza! Where do they get these claims from?
Runda belongs to a certain foreign company.Haya umetoa wapi mtanganyika? 😂😂😂😂
Can you prove these claims?
Mbona nilisoma chuo cha udsm na nyang'au wengi tu. Kuna mtu anaitwa Makau Mutua unamfahamu au wewe ni 'mtoto wa juzi'?😎Tukiwaambia wanakana
You said bungalows left, right and center? 🤣🤣🤣🤣Hizo ndio average zenu siwezi fanya ujinga wa cherry picking while in Tanzania is all about bungalows left right and center
Hii ndio state of affairs between your middle to higher income earners and our very ordinary people
View attachment 3326776
Mitaa ya watu wa kawaida sana hiyo, mostly watu wenye kipato cha belowMtaa wa matariji hiyo eti? 🤣🤣🤣🤣
Na nani kakuambia gombola mboto ni wanaishi watu wenye kipato cha juu. Fanya hivi ebu tafuta picha za gombo la mboto halafu linganisha na kwenu kwa lower income people tuone.You said bungalows left, right and center? 🤣🤣🤣🤣View attachment 3326854View attachment 3326856View attachment 3326857
Baba levo ni chawa tu, ambaye anatafuta chochote maana anajua mnataka sifaPropaganda ya CCM. 🤣🤣 Vile tu wanaambiwa wakenya hawamiliki mshamba, wakenya ni maskini, Nairobi wengi wanaishi kwa slums, and other propganda. Until wakuje Kenya then wanaanza kufunguka kama Baba Levo.
Eliud Mathu is a foreigner, maajabu. And that's old Runda, sahii Kuna New Runda na Runda Mimosa.Runda belongs to a certain foreign company.
View attachment 3326853
Wakundustan wanaonja joto ya kumpiga kasongo na skuna
View: https://x.com/Abuzenation/status/1920017025478623691?t=r4VeWpsA63W8Ug-pv2qmGA&s=19
Even the name Runda itself is an abbreviation.Runda belongs to a certain foreign company.
View attachment 3326853
Bongolala, we know your most exclusive etate (mtaa ya matajiri) ni Masaki na yenyewe ni apartments kushoto kulia. Sasa hayo bangalows unayotubia hapa yako wapi wakati Masaki 80% of buildings ni apartments, the kind you'd find find in Kileleshwa, Lavington and Kilimani.Na nani kakuambia gombola mboto ni wanaishi watu wenye kipato cha juu. Fanya hivi ebu tafuta picha za gombo la mboto halafu linganisha na kwenu kwa lower income people tuone.
Nairobi ukiachana na estayes za Makampuni, za serikali na za wageni.Propaganda ya CCM. 🤣🤣 Vile tu wanaambiwa wakenya hawamiliki mshamba, wakenya ni maskini, Nairobi wengi wanaishi kwa slums, and other propganda. Until wakuje Kenya then wanaanza kufunguka kama Baba Levo.
Umia pole pole. Unaona slums wapi hapa?Nairobi ukiachana na estayes za Makampuni, za serikali na za wageni.
Ninyi mnanishi SLUMS.
Ndio maananmko busy na Real estate developers na companies kujenga majumba ambayo mnapanga tu nguruwe
Naona estates hapo.Umia pole pole. Unaona slums wapi hapa?
![]()
![]()
Nairobi ukiachana na estayes za Makampuni, za serikali na za wageni.
Ninyi mnanishi SLUMS.
Ndio maananmko busy na Real estate developers na companies kujenga majumba ambayo mnapanga tu nguruwe