mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,125
- 6,545
Apartments and posh estate don’t share same page . Tell us something we don’t know ..Kwani kujenga appartmenta ni dhambi wewe mbunda.?
Apartments and posh estate don’t share same page . Tell us something we don’t know ..Kwani kujenga appartmenta ni dhambi wewe mbunda.?
What progress? Zinaonyesha nyie ni mabingwa wa kunya hadharani! Kuna sababu kuu ya kuonywa uwe mwangalifu maana unaweza kukanyaga mavi njiani hata Uwe poshy areas kama Lavington, Karen ama Runda na ndio sababu kwann niliwaita Wakunya!Hizi picha zinaonyesha the progress we are making ama unadhani ni kitu mbaya. 😂😂
Duh alooh, hivi huu muonekano wa vumbi vumbi miji ya ki Africa hasa hii ya kizamani itaondokana nayo lini?
Hakuna mji unafikia Dom kwa jinsi ulivyo organized na well planned, hii miji mingine Dar, Nairobi, Entebbe, Addis et al ni ya kizamani, watu wengi walijejengea hovyo hovyo.I thought this was Riat Hills Kisumu , only to realize Kisumu is much better..😃
Ni kajinga, hakapendi ukweli kwamba Kenya kuna ma slums mengi kuliko mji wowote duniani. Utakakuta kanaweka vipicha picha vya kuchagua vya estate mbili tatu nzee za wazungu, wahindi na wasomali lkn anapoishi yeye na more than 80% ya wakenya wote haweki.Kwani kujenga appartmenta ni dhambi wewe mbunda.?
Habari ndio hio. Safaricom haina rika wakimbizane na Naivas kwanza.
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1920749289057271968?t=_1SysTkr07_pU57RFBb-ww&s=19
Pole sana, utakufa na pressure we mzee.Aawapii mbona hamja-factor hasara ya kuingia kichwakichwa soko la Ethiopia? 🤣🤣
Unaumia ukiwa wapi?Aawapii mbona hamja-factor hasara ya kuingia kichwakichwa soko la Ethiopia? 🤣🤣
Wakunya ukabila umewajaa mpaka sasa imekuwa kawaida yani makama wa raisi anazungumza mubashara bila mshipa wa aibu
View: https://vm.tiktok.com/ZMS1tejpW/
Banks owned by foreign institutions aside foreign individuals!Mpesa alone has more Revenue than any company in Bongoslum. In fact all banks on this list have more revenue than CRBD. 😂😂 Na utawaona hapa na data za kukota eti they do more transactions. 🤣🤣🤣
View attachment 3329740
KCB, Equity, Coop, NCBA are owned by locals. Tafuteni excuse ingine, hii upuzi ya foreigners tushazoea.Banks owned by foreign institutions aside foreign individuals!