Ulichosema na nilichosema kuna utofauti gani? Nimesema mall hapo Morocco Square ni sehemu ndogo sana ya jengo ukiichukua pekee huwezi ukailinganisha na malls kama The Waterfront ama the Hub, umekuja kudhibitisha kwamba ni floor tatu pekee zilizo mall hapo. Sasa ujuaji wangu upi?
Hapo Morocco NI Regent Estate. Wewe unaongelea Mikocheni kata, mimi naongelea Mikocheni Estate - hivo ni vitu viwili tofauti. Kwamba hapo ni Regent Estate ni fact sio ujuaji. Same way kuna malls za Westands Estate ambazo
Teargass ametaja hapo juu na pia kuna Westlands Sub County ambayo tukiichukua yote malls kama Two Rivers, Rosslyn Riviera, Village Market, Lavington mall, Yaya Center, Junction Mall n.k zitakuwa humo humo. Ujuaji ni huyo mbilikimo kusema the Hub and the Waterfront - some of the classiest malls in this region eti ni vibanda alafu anatupostia malls zinazochukua less than 10% ya jengo eti hizo ndio malls.