Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


😂😂 wivu inakufanya upost random tweets
Haikosi ni wewe huyo 😂😂
Meanwhile
ce584883-cf25-4210-a0d5-c1d2e5e49523.jpeg
 
Tanzania🤣., first hand experience, sio Mtanzania sio Mkenya.., 30 years behind, dirt roads kibao, jamaa alitembea tu Dar is slum, picha ya uchumi wa Tanzania 🤣🤣🤣
View attachment 3328861
Staged! The lady is Kenyan, and the two guys are Kenyan Americans.
A country where its people are being fumigated like German Shepherds!

1746829043306.png


A country where everyone is hungry! Mna bidii sana ya kuaminisha ulimwengu juu ya uhalisia wa maisha na nchi yenu. Kila mtu muongo Kenya.
1746829216286.png

Enyewe nyinyi watu mko determined kushinda argument instead of ukweli.
Ni nyie mko bize kudanganya ulimwengu kuhusu uhalisia wa maisha yenu. Kumbe mna siku katika life lenu mnakusanyika kuwafumigated kama wanyama!
 
UMmeshindwa leta mfano wa street zilizoko runda tulinganishe unatuletea aerial view, kwa sababu hata ukizivuta hizo unazoziita bungalow ukajaribu kufananisha na hizo unazoziita apartment bado hizo apartments ziko vizuri kama unabisha leta street view tu
Leo mnashabikia apartments while all along mnaiziutanga boxes na dormitories??😂😂😂 Siku ya nyani kufa jamani!!!

I thought you said mitaa zenu za kifahari ziko na bungalows kwote kwote!? 😂😂😂 Why this sudden change of tune? Is it coz I have laid bare your lies?

Listen mtanganyika, mitaa za Nairobi na hizo zenu ni kama mbingu na ardhi. They are not comparable in any way, ndio maana hata wewe unatapatapa hapa! Huna jibu

Our most affluent estates hazina apartments. The law does not even allow one to build an apartment in those areas. Wewe mtaa wenu nzuri kuliko zote ni apartments na unatupigia kelele hapa eti bungalows kila mahali. Masaki linganisheni na Kileleshwa ama Lavington, hizo ndio mitaa zenye apartments
 
Leta mfano wa nyumba tu ambayo kwako unaona ni bungalow usilete aerial view
I have no time posting pictures za nyumba moja moja from Nairobi's posh estates. Wewe endelea kushabikia Masaki yenu ya apartments and at the same time telling us how your posh estates are full of bungalows
 
Back
Top Bottom