concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Kwahiyo hapo unaona Kuna nyumba ya kulingishia ebu zivute kwa karibu tuone tembea street kwa street tuoneGodown za kwenu zinafanana hivi? 🤣 🤣 Wewe tafuta Kibera upost.
![]()
Kwahiyo hapo unaona Kuna nyumba ya kulingishia ebu zivute kwa karibu tuone tembea street kwa street tuoneGodown za kwenu zinafanana hivi? 🤣 🤣 Wewe tafuta Kibera upost.
![]()
Kiongozi hao nyangau hawajali hilo wao lengo lao kuu ni kumanage currency ili kuongeza uwezo wa kukopa tuu. akili yao ndio ilipoishia hapo tuu.Elimubya biashara hamna, ukiwa na lower currency in comparison with your neighbours inapelekea bei ya bidhaa zenu inakuwa chini hivyo kuvutia wanunuzi wengi kutoka nchi nyingine.
MFano tu nikija na dollar na kuchange kwenda tzs nilienda sokoni Nina uhakika wa kupata mzigo mkubwa kwa gharama ndogo tu
Wanaoishi hapa Kunyaland ni filthy richest people lakini Tanzania ni wabangaizaji 😂😂😂 mpaka vijijini unakuta this vibeUmia pole pole. Unaona slums wapi hapa?
![]()
![]()
Yaan unataka kulinganisha nyumba ambazo zinafence ya mabati na nyumba zilizo na decorated fences🤣🤣🤣🤣.Godown za kwenu zinafanana hivi? 🤣 🤣 Wewe tafuta Kibera upost.
![]()
Ndo maana wasomali walikuwa wakimbizi lakini Leo hii ndo wamiliki wa majengo makubwa Nairobi huku wenyewe wakikimbilia kuwa wafanyakazi ndaniKiongozi hao nyangau hawajali hilo wao lengo lao kuu ni kumanage currency ili kuongeza uwezo wa kukopa tuu. akili yao ndio ilipoishia hapo tuu.
Yaani mnakuwa proud kabisa na estate houses??Nowonder Hanspaul alisema munaishi kama washamba. 🤣 🤣
Ona hili lipumbavu lilivyo halijielewi.Quacks like you aren’t allowed to discuss anything medicine with other people. Chemistry is a broad term so ukisema chemistry is the backbone of pharmacology what do you mean? There are so many branches of Chemistry that does not relate with pharmacology, example being inorganic Chemistry.
Alafu you are contradicting yourself, pharmacology is just a tree that branches into pharmacokinetics and pharmacodynamics. In short, pharmacokinetics and pharmacodynamics when put together forms pharmacology.
Yes, Chemistry is the backbone of Pharmacology just like biology, but not everyone who studied general chemistry or biology will understand Pharmacology. Anyway, I don’t even know why I’m wasting my time discussing with a quack.
A low flying drone inapiga Naipori yote picture. Tiny place.
Sure, this is better.Kwahiyo hapo unaona Kuna nyumba ya kulingishia ebu zivute kwa karibu tuone tembea street kwa street tuone
Hizi nyumba nhc walijenga hakuna mtu anataka kuishi yaan nikanunue nyumba zenye raman Moja sawa na jezi🤣🤣🤣🤣🤣Yaani mnakuwa proud kabisa na estate houses??
View attachment 3326940View attachment 3326941
Kama hizi??
Compare and contrast
Karen estate in Nairobi
Richest estates in Kenya
View: https://youtu.be/0cWSllux2Ac?si=rwCVaK5rKu56wdvW
Versus kijichi
Makazi ya wafanyakazi wa kawaida wa umma
View: https://youtu.be/vExOsPioiAg?si=nptsVxO8REjKgohG
Hawana uwezo wa kujenga , nilitegemea wangeleta hayo mabungalow yao kumbe hamna kituHiyo lami ya Karen atakuwa kaiacha mkoloni 🤣🤣🤣
Baada ya kugundua Dar is a slum planning haiwezi kukolewa sahii ndio mumeanza kujenga estates Dodoma, na munazijenga na design za kishamba kama kawaida yenu.Yaani mnakuwa proud kabisa na estate houses??
View attachment 3326940View attachment 3326941
Kama hizi??
Kukomaa kujenga uwanja wakati uchumi mdogo na pesa huna👇👇👇
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1920062091496390719?t=KLr9PThsaM5zKNKmJ1UaDg&s=19
Watakaa hapo wafanyakazi.Hizi nyumba nhc walijenga hakuna mtu anataka kuishi yaan nikanunue nyumba zenye raman Moja sawa na jezi🤣🤣🤣🤣🤣
Baada ya kugundua Dar is a slum planning haiwezi kukolewa sahii ndio mumeanza kujenga estates Dodoma, na munazijenga na design za kishamba kama kawaida![]()
![]()
Mwambie hiyo ni miradi ya watu wa kawaida sana TanzaniaWanaoishi hapa Kunyaland ni filthy richest people lakini Tanzania ni wabangaizaji 😂😂😂 mpaka vijijini unakuta this vibe View attachment 3326939
Bado hii ni Kenya. Pole sana.