concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Post highway kwenda kileleshwa unaogopa Nini ?Unapost highway kama barabara ya mtaa. 🤣🤣 Wachana na Kileleshwa, shugulika na Ile Kibera mumezoea.
Post highway kwenda kileleshwa unaogopa Nini ?Unapost highway kama barabara ya mtaa. 🤣🤣 Wachana na Kileleshwa, shugulika na Ile Kibera mumezoea.
Mimi nakuletea kijichi tu hatuendi mbweni maana huko hupaweziUnapost highway kama barabara ya mtaa. 🤣🤣 Wachana na Kileleshwa, shugulika na Ile Kibera mumezoea.
Na Huyo msudani moto wake M7 aliyewapora kisiwa Cha Migingo anasubiri.alaf sijui hua kwann wanapenda sana kuingilia vita za watu hawa watu ni wajinga sana, haiti wameramba mchanga sasa wanarudi makwao kwa aibu 😂
Hapa tupo kigamboni tu kata ya kibada mtaani sio highwayUnapost highway kama barabara ya mtaa. 🤣🤣 Wachana na Kileleshwa, shugulika na Ile Kibera mumezoea.
Mambo ya EACOP?
Hivi hawa wanajua tutakuwa tunavuta zaid ya usd 909mil kwa mwaka kwa ajili ya bomba kupita tu bado gawioMambo ya EACOP?
Naiona Tanzania ikiongoza kwa uzalishaji wa Kila zao kwa afrika nzima. Mwaka huu natarajia kuiona ikiongoza kwenye uzalishaji wa ufutaMtakumbuka kuwa Serikali, kupitia kauli yake rasmi iliyotolewa Bungeni, imeanzisha Programu ya BBT Borelhole - ya kuchimba visima 62,000 kwa ajili ya kuwawezesha wakulima wadogo nchini. Visima hivi vitahudumia zaidi ya hekta milioni 2.2 kwa kipindi cha miaka minane, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha kilimo cha umwagiliaji na kupunguza utegemezi wa mvua.
Haya mambo ni ya wachache tu NATIONAL IRRIGATION COMMISSION 👇 👇 👇 👇 👇
View attachment 3325217
View attachment 3325219
View attachment 3325220
nitawaletea mradi wa EACOP kaeni mkao wa kula 😂😂😂Mambo ya EACOP?
modernityKuzidi in terms of what?
Pole pole, chunga usinyongwe na wivu.
View: https://www.instagram.com/p/DIgdg2VuUK7/?utm_source=ig_web_copy_link
View attachment 3325112
nitawaletea mradi wa EACOP kaeni mkao wa kula 😂😂😂
Hujui Dar period.Sijui kama hapa ndio mnazi Moja ila hapo ndio nilipanda daladala. Barabara haikuwa na lami.😂🤣
View attachment 3325128
Hawajajua tuu kwanini Dar inaitwa Bongo 😁Siku nyingine mkiwa mnakuja dar ombenj usaidizi huu mjii mtaibiwa sana, hapa hakuna ujambazi ila unaibiwa huku unabembelezwa mpaka uje kugundua ushapigwa karibia mwaka mzima. Hapa unakwenda kununua sendozi kwa mtu asiye hata mtaji ila ana duka na anauwezo kukuuzia contena Zima la sendozi 🤣🤣🤣🤣🤣
Naijua na kuna bar pembeni yake halafu ile sio supermarket fala wewe ile ni convenience store tuu.Unajua Woodland Supermarket? Iko Shanty town Moshi? Unaijua?
Naijua na kuna bar pembeni yake halafu ile sio supermarket fala wewe ile ni convenience store tuu.
Mimi nakuletea kijichi tu hatuendi mbweni maana huko hupawezi
View: https://youtu.be/vExOsPioiAg?si=vMYpCm5L1rCVbOwW