NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,025
- 19,205
Supermarket Ina liquor store. Bei yake ndio Bei ya kawaida. Nimenunua bia Moshi, Arusha na Dar es Salaam. Mnapenda ubishi wa bure.Wiki haiwezi isha bila sijanywa pombe ndio maana nashangaa hizo bei zako, Nikudanganye kwa faida gani? Au unafikiri tuna ule uzalendo wenu wa kijinga wa kuteteana mkidanganya!
Ungeenda bar, liquor store au pub upate bei halisi.