ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,414
- 88,507
Taja jina la supermarket mbona unakwepa 🤣🤣🤣🤣Najua nyinyi ni wezi, ila nimenunua bidhaa supermarket na Bei imeandikwa hapo. Najua sikuibiwa.
Ile barabara moja in Kilimani ndio hua unatumia kama excuse. Kileleshwa huijui, umeiskia tu huku jamii forums.Ebu tuletee barabara za kileleshwa au Eastleigh wanaishi Kuna kitu nataka nikuambie
Hakuna cha excuses yoyote ni wewe unataka kulazimisha mambo.Hizo ni excuses. Nimepeana Bei ya bia Kenya ya supermarket, Carrefour. Nikapeana ya Bongo ya supermarket na zimetoshana. Sasa ugomvi uko wapi? Ningepeana ya Kenya ya vichochoroni na Tz ya supermarket ndio ungesema nimekosea.
Unajua Woodland Supermarket? Iko Shanty town Moshi? Unaijua?Taja jina la supermarket mbona unakwepa 🤣🤣🤣🤣
Ile barabara moja in Kilimani ndio hua unatumia kama excuse. Kileleshwa huijui, umeiskia tu huku jamii forums.
View: https://x.com/SangKip4/status/1749659634959294509
Ebu angalia uchafu wa barabara zenu linganisha na hiyo unayocheka Tena ya uswahilini
View: https://youtu.be/maWFwZV4jOw?si=k1hJfiOADkTc-zy5
Hiyo ndo the best road sio?🤣🤣🤣🤣
Sadaka ya Futari 🤣 🤣 🤣 👆 👆 👆Hivo ndio mnavyoaminishwa. Kiukweli ni kwamba umaskini Tanzania upo, tena kwa wingi sana. Mimi Tangu nizaliwe sijaona yeyote akipewa chakula cha msaada. Chakula cha msaada hupewa maeneo ambayo yalikumbwa na instability kwa muda mrefu huko Northern Kenya na kuna wakaazi wachache sana hayo maeneo ila kwa sasa hiyo region imeanza kupata stability ndio maana siku hizi ni nadra upate wakiletewa misaada. Soon mambo ya misaada yatakuwa history.
Na usitudanganye, hapo kwenu watu wanapewa msaada wa chakula. Usidhani sisi wajinga.View attachment 3325120
Ulikua uanaongelea Kileleshwa gani? Au ulikua unaropokwa. 🤣 🤣Ebu tuletee barabara za kileleshwa au Eastleigh wanaishi Kuna kitu nataka nikuambie
Hahaa mbona unakimbia kwahiyo hapo sio kwenu mji wa kisomali🤣🤣🤣. Hapo sijaanza kupachimbaNaona Kileleshwa imekushinda, umeanza kutapatapa. Nimekuambia hio Kileleshwa huijui, punguza kuropokwa.
![]()
Hujui Kileleshwa lakini unaropokwa ju ya vitu umeona online. 🤣 🤣 🤣Hahaa mbona unakimbia kwahiyo hapo sio kwenu mji wa kisomali🤣🤣🤣. Hapo sijaanza kupachimba
Ile barabara moja in Kilimani ndio hua unatumia kama excuse. Kileleshwa huijui, umeiskia tu huku jamii forums.
View: https://x.com/SangKip4/status/1749659634959294509
Waambie Bongo maana yakeSiku nyingine mkiwa mnakuja dar ombenj usaidizi huu mjii mtaibiwa sana, hapa hakuna ujambazi ila unaibiwa huku unabembelezwa mpaka uje kugundua ushapigwa karibia mwaka mzima. Hapa unakwenda kununua sendozi kwa mtu asiye hata mtaji ila ana duka na anauwezo kukuuzia contena Zina la sendozi 🤣🤣🤣🤣🤣
Leta barabara usituletee majengo tukienda kwenye majengo utakimbia tu, Leo tuko kwa barabara za Eastleigh, kileleshwa , ruiru versus za kimara , mbagala hatuweki za mikocheni wala mbweni maana huko hampaweziHujui Kileleshwa lakini unaropokwa ju ya vitu umeona online. 🤣 🤣 🤣
![]()
Kumbe ukona Kileleshwa yako na hatujui. 🤣 🤣 🤣Sasa kama kileleshwa barabara Yale imechakaa hivi na ndo sehem ya matajiri utalinganisha na hiyo barabara ya Tanzania iliyopo uswahilin
BongoWaambie Bongo maana yake
🤣🤣🤣 wacha kucompare Kileleshwa na vitu vya upuzi.Leta barabara usituletee majengo tukienda kwenye majengo utakimbia tu, Leo tuko kwa barabara za Eastleigh, kileleshwa , ruiru versus za kimara , mbagala hatuweki za mikocheni wala mbweni maana huko hampawezi
Ile barabara moja in Kilimani ndio hua unatumia kama excuse. Kileleshwa huijui, umeiskia tu huku jamii forums.
View: https://x.com/SangKip4/status/1749659634959294509
Barabara za kileleshwa ni mbovu kuliko barabara za mbagala🤣🤣🤣 wacha kucompare Kileleshwa na vitu vya upuzi.
![]()