Mimi nakuletea kijichi tu hatuendi mbweni maana huko hupawezi
View: https://youtu.be/vExOsPioiAg?si=vMYpCm5L1rCVbOwW
hawa wote wako middle class area.
Mimi nakuletea kijichi tu hatuendi mbweni maana huko hupawezi
View: https://youtu.be/vExOsPioiAg?si=vMYpCm5L1rCVbOwW
mshamba tuu huyu nyangau. kaenda kumtembelea ndugu yake Moshi anafanya kazi pale pale Salsalnero kama manager kapiga vipicha kaona kamaliza Tanzania.Kaenda kuitafuta kwenye mtandao
Nyef nyef... Argument was Mombasa hakuna international flights, baada ya kupewa jibu munashift goal post. Bongolala ni kama malaya, hawezi ridhishwa.mara hii umeshakuwa shabiki wa Ethiopian Airline tena I thought umeweka za KQ😁
Hapa tupo kigamboni tu kata ya kibada mtaani sio highway
View: https://youtu.be/AQZsxnOR5x8?si=DLEqEtwik6JmsieV
Sasa linganisha na barabara zenu za Eastleigh tu
View: https://youtu.be/Ah0Y_BkfHcA?si=43imgjFMeJ2Hg6Nq
Leta barabara ushago kwa sababu ndo level zake hizo, yaani kileleshwa na mbagala hakuna tofautiAgain comparing oranges to apples. Eastleigh a densely populated urban area unacompare na ushago. It's either wewe fala ama ukona self-esteem issues.
View attachment 3325257
What a problem kiwana kuuzwa? Nairobi haina viwanja.Again comparing oranges to apples. Eastleigh a densely populated urban area unacompare na ushago. It's either wewe fala ama ukona self-esteem issues.
View attachment 3325257
Kijichi Iko wilaya ya temeke ambako ndo wilaya inayosemekana Ina maskini wengi najaribu kumuonesha upande wa pili wa temeke hatujafika mikocheni.hawa wote wako middle class area.
Wamezoea slums lazima ashangae eneo kuuzwaWhat a problem kiwana kuuzwa? Nairobi haina viwanja.
Eti anataka kutuonesha kuuzwa kiwanja ni problem. Wakenya ni wapuuzi sana.Wamezoea slums lazima ashangae eneo kuuzwa
Kama hii ndio Kileleshwa ya Dar is a slum basi mkona a long way to go.Leta barabara ushago kwa sababu ndo level zake hizo, yaani kileleshwa na mbagala hakuna tofauti
Kwa kukusaidia tu kutoka daraja la kigamboni mpaka hapo muongozo ni 21 km na kutoka posta tu ambayo imepakana na kigamboni ni km30 hiyo distance kwa Nairobi ushafika athiriver ndo mjue dar es salaam ni kubwa sana tukisema tuweke majengo tu yaliyopo dar kwa Nairobi hata sehem ya kujamba mtakosaAgain comparing oranges to apples. Eastleigh a densely populated urban area unacompare na ushago. It's either wewe fala ama ukona self-esteem issues.
View attachment 3325257
Kama hii ndio Kileleshwa ya Dar is a slum basi mkona a long way to go.
View: https://x.com/eastafricatv/status/1900505996692246776?t=37guSn0UHKBZDYNjaNh_CA&s=19
Kigambonibtu inalingana na Nairobi nzimaEti anataka kutuonesha kuuzwa kiwanja ni problem. Wakenya ni wapuuzi sana.
Dar es salaam is almos x3 bigger than Nairobi, Hauna Slums, Hakuna pori.
Nairobi National Park 117 km² 👈 👈 👈Kigambonibtu inalingana na Nairobi nzima
Kigamboni Municipal Council in Dar es Salaam has an area of 577.86 square kilometers.
Nairobi covers an area of approximately 696 square kilometers. This area includes the city and its surrounding area, which also forms the Nairobi County.
Sasa tena umewachana na Eastleigh ushafika Athi River.🤣😄 Nairobi itakumaliza na stressKwa kukusaidia tu kutoka daraja la kigamboni mpaka hapo muongozo ni 21 km na kutoka posta tu ambayo imepakana na kigamboni ni km30 hiyo distance kwa Nairobi ushafika athiriver ndo mjue dar es salaam ni kubwa sana tukisema tuweke majengo tu yaliyopo dar kwa Nairobi hata sehem ya kujamba mtakosa
Ndo maana nimemuambia kileleshwa ni ya kulinganisha na mbagala tu. Kijichi tu itawatoa ndukiNairobi National Park 117 km² 👈 👈 👈
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa tena umewachana na Eastleigh ushafika Athi River.🤣😄 Nairobi itakumaliza na stress
Yaan kwa akili zako unaona Nairobi ni kuleta stress mji ambao kwa baiskeli tu unaumalizaSasa tena umewachana na Eastleigh ushafika Athi River.🤣😄 Nairobi itakumaliza na stress