concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Ebu fananisha hiyo barabara ya mbagala tu na hiyo ya kileleshwa . Mind you mbagala ndo sehem wanapoishi watu tunaowachukulia ndo low class🤣🤣🤣 wacha kucompare Kileleshwa na vitu vya upuzi.
![]()
Hakuna mashimo kama kileleshwa🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://youtu.be/Crkhi6vaDTM?si=uJm2NR_q7_UApj4e