Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Because we are not meek like you. It's not like you don't feel the pinch, you're just cowards. There are rich countries where people take to the streets for price increases. Same way we occasionally go to the streets due to extrajudicial killings. You've never done the same yet the vice is bigger in your country.
No, we don't feel the pinch mate, hatufanani. The whole country mnakula ugali na sukumawiki kama mbuzi.
In the region Tanzania is the most advanced county when it comes to agriculture.
Hizo nchi tajiri huwa mnapenda kutaja kwa kujifariji kwenye umaskini wenu hakuna hata Moja isiyojitosheleza kwa chakula.
Tanzania produces more food than it needs, Unadhani kwanini Tanzania feeds the entire Kenya ?
 
Hiki ni kicheko. Enda Vumbistan na pesa ya Kenya hakuna mwenye ataikataa, Sasa itakuwa dollar ya marekani?😂😂😂
Nilipost hapa that I was using my Kenya shillings in Dar, na walikuwa wanapinga my personal experiences 😂😂
IMG_4723.jpeg
IMG_4724.jpeg
IMG_4722.jpeg
 
Mimi nilijua kuwa Kuna price tags za Kenya shilling hicho alichofanya ni msaada tu, aliona kuliko apoteze mteja Bora umlipe kwa ksh then yeye anaenda tu pale ofisi za classic au kidia anabadilisha na kupata faida mara mbili.
Hiyo ni illegal business
Sasa unajifanya ni kama unaelewa the situation, we jua tu kuwa ninaweza kutumia sarafu ya Kenya nikiwa Tz, period 😂
 
Ila hawa watu wanapenda kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu, kwamba unaweza kufanya malipo Tanzania kwa Kenya shilling 😀😀😀. Nyerere aliwahi sema upumbavu ni kipaji.
 
No, we don't feel the pinch mate, hatufanani. The whole country mnakula ugali na sukumawiki kama mbuzi.
In the region Tanzania is the most advanced county when it comes to agriculture.
Hizo nchi tajiri huwa mnapenda kutaja kwa kujifariji kwenye umaskini wenu hakuna hata Moja isiyojitosheleza kwa chakula.
Tanzania produces more food than it needs, Unadhani kwanini Tanzania feeds the entire Kenya ?
You do bro. I was in Dar yesterday, you're poor. Dirt poor. Wacheni kujifariji. You're extremely poor. In fact poverty should be your second name. Kwanza huo mkoa wa Pwani ni fukara sana. Hadi unashangaa, mashamba mengi, mvua ipo ila watu ni mafukara.
 
Sasa unajifanya ni kama unaelewa the situation, we jua tu kuwa ninaweza kutumia sarafu ya Kenya nikiwa Tz, period 😂
Hauwez tumia labda illegally, ili tuweze kuseme unaweza tumia ilitakiwa utuoneshe ni wap price quotes za bidhaa mbalimbali zimewekwa kwa ksh. Tanzania wafanyabiashara wengi hupokea hela hata ikiwa ya Burundi maana wanajua wanaweza kuzichange ila huwez Kuta price tags zikiwa kwa hizo currency husika.
Na kinachomaanishwa hapo kulikuwa Kuna tendency ya kuquote au baadhi ya makampuni kulazimisha kulipwa kwa dolla kama nice one kwa wale exporters hicho ndo kilichokataliwa. Wewe hukuwa na hela ila bei ya bidhaa ilikuwa kwa tsh ukalazimishwa kununua hiyo kitu kwa rate ya yah ila ukalipa ksh .
Yaan mfano t- shirt inauzwa tsh 20000 ukawa huna tsh akakuambia utanilipa kwa rate ya 18tsh/ksh ambayo ni sawa na 1,110.ksh then yeye anaenda kidia pale akamlipia mzigo tu ambaye kaagiza mzigo toka Nairobi kwa rate ya 21 sawa na 23,000tsh wewe ukamuona mjinga kumbe kashakupiga 3000tsh na hiyo ndo biasharaa Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣.
Hata Mimi Leo ukija unataka letsay unga una ksh nakubali fasta maana najua hutakuwa na alternative kwa bei ambayo nitapanga Nini matokeo yake natengeneza faida mara mbili.
 
You do bro. I was in Dar yesterday, you're poor. Dirt poor. Wacheni kujifariji. You're extremely poor. In fact poverty should be your second name. Kwanza huo mkoa wa Pwani ni fukara sana. Hadi unashangaa, mashamba mengi, mvua ipo ila watu ni mafukara.
Not to the extent of queuing for food donations tho,,
Unlike you guys, majority Tanzanians afford decent meals daily,
Hapo kwenye mvua ni sawa ila pia kumbuka Tanzania Ina miradi mikubwa Zaidi ya kilimo Cha umwagiliaji kuliko nchi zote za Africa mashariki combined. A reason you see thousands of Tanzanian trucks bringing supplies to Kenya.
 
Back
Top Bottom