Pole pole, chunga usinyongwe na wivu.There is only 1 international airport in Kenya.
View: https://www.instagram.com/p/DIgdg2VuUK7/?utm_source=ig_web_copy_link
Pole pole, chunga usinyongwe na wivu.There is only 1 international airport in Kenya.
Hivo ndio mnavyoaminishwa. Kiukweli ni kwamba umaskini Tanzania upo, tena kwa wingi sana. Mimi Tangu nizaliwe sijaona yeyote akipewa chakula cha msaada. Chakula cha msaada hupewa maeneo ambayo yalikumbwa na instability kwa muda mrefu huko Northern Kenya na kuna wakaazi wachache sana hayo maeneo ila kwa sasa hiyo region imeanza kupata stability ndio maana siku hizi ni nadra upate wakiletewa misaada. Soon mambo ya misaada yatakuwa history.Not to the extent of queuing for food donations tho,,
Unlike you guys, majority Tanzanians afford decent meals daily,
Hapo kwenye mvua ni sawa ila pia kumbuka Tanzania Ina miradi mikubwa Zaidi ya kilimo Cha umwagiliaji kuliko nchi zote za Africa mashariki combined. A reason you see thousands of Tanzanian trucks bringing supplies to Kenya.
Oya wakuu sisi tuko na potential bhana. Heb Cheki hizi chuma bomba la msururu wa chuma heading to south 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DJM7tTnMroy/?igsh=MWgwdWp2bHNiMzJrdQ==. We feed Africa Yoo.
Kama alinunua kwa bei hiyo ya ksh 130 Tena 330mm asijifisie walimuona zoba bei ya Serengeti lite/lager za mm 330 kwa retail ni 2000tsh sawa na 95ksh kwa hizo bei anazotaja ni wazi hamjafika Tanzania bali kaambiwa . Tanzania ukinunua bia 3 unalipa tsh 5000 tsh sawa ksh 239 au per bottle ni 79ksh🤣🤣🤣Ila wewe ni mbishi ajabu. Amekwambia alinunua bia ya 330ml hapo Bongo kwa KES 130 na hapa Kenya bei ya 500ml ni KES 200, mara ukaanza eti mna bia ya 500ml, ukaja eti hajafika Tanzania sasa saahii unauliza wholesale price. Mbona usipinge hoja yake kwa facts? Amesema ukweli ama uongo? Serengeti lager ni pesa ngapi?
Zipo malls Dar nyingi tu kisa huzioni zikipostiwa haimaanishi hazipoHii hata ishakua mzee na hamjawai jenga mall ingine ju hakuna demand. 🤣 🤣
Hii Goldenlife mall in Nakuru is better and modern than all malls in bongoslum.
![]()
Sijafika Vumbistan😂😂Kama alinunua kwa bei hiyo ya ksh 130 Tena 330mm asijisie walimuona zoba bei ya Serengeti lite/lager za mm 330 kwa retail ni 2000tsh sawa na 95ksh kwa hizo bei anazotaja ni wazi hamjafika Tanzania bali kaambiwa . Tanzania ukinunua bia 3 unalipa tsh 5000 tsh sawa ksh 239 au per bottle ni 79ksh🤣🤣🤣
Tanzania imezungukwa na nchi zaid ya nne zenye instability ila imejitahidi kuepukana na majangiri.Hivo ndio mnavyoaminishwa. Kiukweli ni kwamba umaskini Tanzania upo, tena kwa wingi sana. Mimi Tangu nizaliwe sijaona yeyote akipewa chakula cha msaada. Chakula cha msaada hupewa maeneo ambayo yalikumbwa na instability kwa muda mrefu huko Northern Kenya na kuna wakaazi wachache sana hayo maeneo ila kwa sasa hiyo region imeanza kupata stability ndio maana siku hizi ni nadra upate wakiletewa misaada. Soon mambo ya misaada yatakuwa history.
Na usitudanganye, hapo kwenu watu wanapewa msaada wa chakula. Usidhani sisi wajinga.View attachment 3325120
In short walimgonga. 😂😂😂Kama alinunua kwa bei hiyo ya ksh 130 Tena 330mm asijisie walimuona zoba bei ya Serengeti lite/lager za mm 330 kwa retail ni 2000tsh sawa na 95ksh kwa hizo bei anazotaja ni wazi hamjafika Tanzania bali kaambiwa . Tanzania ukinunua bia 3 unalipa tsh 5000 tsh sawa ksh 239 au per bottle ni 79ksh🤣🤣🤣
Sijasema hakuna maskini Kenya, nimesema Kuna maskini Tanzania.Tanzania imezungukwa na nchi zaid ya nne zenye instability ila imejitahidi kuepukana na majangiri.
Mfano tu ni kigoma ,bukoba, na rukwa kulikuwa na majambazi wenye siraha kuliko hata askari watanzania lakini hatujawahi kufa njaa .
Huwezi kusema hakuna maskini Kenyan wakati bado Kuna watu wanaendelea kupokea msaada wa chakula. Ukisema Kuna ukame basi misri walitakiwa wawe wameshakufa wote kwa njaa
Wewe zoea umaskini yako. No wonder unaringa kukunywa pombe ya 800 bob.That's too low for me, I sometimes drink local beers in villages for a cost of less than ksh 50 a litre.
By the way, I rarely drink alcohol.
Halafu kumbe wewe ni kajinga hivi, why I even bothered being engaged to your childish reasoning. Kwaheri.
Hujavuka na kama kweli umevuka post picha ya mnazi mmoja hapa ya Leo . Mind you mnazi mmoja ndo Kuna kituon cha daladala na tax kwa upande huo. Sasa kama umefika maeneo hayo lazima utakuwa umeenda kupandia tax au daladala mnazi mmoja
Kuna maskini Tanzania ambao wanaweza kununua chakula ambacho ndo basic need ila Kenya Kuna maskini ambaye hawez kununua chakula mpaka akafa njaa, sasa kama maskini wakenya hawez kununua chakula tu Ina maaana hata nguo na nyumba ya kuishi hawezi kuafford, ikiwa na maana maskini wa Tanzania anaishi vizuri sanaSijasema hakuna maskini Kenya, nimesema Kuna maskini Tanzania.
Walimgonga akajiona mwamba kumbe wahuni wa kariakoo washamtembezea kichapo hawa ipo siku watauziwa sabuni na wahuni wa manzese tu. Tupo humu.ukiona mfanyabiashara wa kibongo anakuambia wewe nilipe tu kwa hiyo hela uliyonayo jua umeibiwa tayariIn short walimgonga. 😂😂😂
Sasa mbona asiseme niligongwa ananiuliza Bei ya wholesale?😂😂In short walimgonga. 😂😂😂
Ushawaai fika Kenya?Kuna maskini Tanzania ambao wanaweza kununua chakula ambacho ndo basic need ila Kenya Kuna maskini ambaye hawez kununua chakula mpaka akafa njaa, sasa kama maskini wakenya hawez kununua chakula tu Ina maaana hata nguo na nyumba ya kuishi hawezi kuafford, ikiwa na maana maskini wa Tanzania anaishi vizuri sana
Nimekaa Kenya kwa miaka 8 primary nimesomea huko kwahiyo hakuna utachonidanganyaUshawaai fika Kenya?
Ebu tutajie hiyo supermarket Iko wapi na jina tu. Tukascreenshort bei ya bidhaa za hapo. Tena super market kwanza tuoneSasa mbona asiseme niligongwa ananiuliza Bei ya wholesale?😂😂
Alafu bia nilinunua supermarket. Sidhani supermarket wanaweza nigonga maanake bei zimeandikwa hapo hapo. Yani you're so desperate mnataka kudanganya Bei ya vitu ndio muonekane mna nchi Bora? No wonder you believe there are no poor people in Tanzania. Mnapenda kuficha uovu Hadi mmeanza kuamini ujinga wenu.
Sijui kama hapa ndio mnazi Moja ila hapo ndio nilipanda daladala. Barabara haikuwa na lami.😂🤣Hujavuka na kama kweli umevuka post picha ya mnazi mmoja hapa ya Leo . Mind you mnazi mmoja ndo Kuna kituon cha daladala na tax kwa upande huo. Sasa kama umefika maeneo hayo lazima utakuwa umeenda kupandia tax au daladala mnazi mmoja
Wiki haiwezi isha bila sijanywa pombe ndio maana nashangaa hizo bei zako, Nikudanganye kwa faida gani? Au unafikiri tuna ule uzalendo wenu wa kijinga wa kuteteana mkidanganya!Sasa mbona asiseme niligongwa ananiuliza Bei ya wholesale?😂😂
Alafu bia nilinunua supermarket. Sidhani supermarket wanaweza nigonga maanake bei zimeandikwa hapo hapo. Yani you're so desperate mnataka kudanganya Bei ya vitu ndio muonekane mna nchi Bora? No wonder you believe there are no poor people in Tanzania. Mnapenda kuficha uovu Hadi mmeanza kuamini ujinga wenu.
🚮🚮🚮Ebu tutajie hiyo supermarket Iko wapi na jina tu. Tukascreenshort bei ya bidhaa za hapo