Nyie vip? Yaani kila kinachofanyika Tanzania bas wanashindana na kenya. BRT iliyojengwa Kuanzia 2012 na kufunction 2015 huko, 10 years ago. Nyinyi kwa nini mmelazimisha BRT system Thika road na mmefeli vibaya sana, hata phase moja imewashinda. Si mlikuwa mnaiga Tz?
BRT imekufa kwa bus moja kuvuja? Tena siku hiz wamekuwa serious kama hujui, Mabasi mengi yemetengenezwa ( fuatilia yaliyokuwa yamepark gerezani, Ubungo, yote yanafanya kazi) wanajenga hadi ofisi zao mpya posta ya Zamani, wametengeneza app ya ticketing, na sasa kuna mradi wa ITS unakaribia kuanza. All BRT buses zitakuwa tracked na kutumia mwendokasi app utajua location ya Bus
Juzi tu hapa wamepokea bus la gesi la majaribio na soon wanaongeza 100 BRT buses za gas
View attachment 3310733
Lakin Nyinyi mbona national Airport inavuja?