Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

a wedding for a politician or a business person as none of u kapukus can afford Nandy!
That's a very stupid assertion. What if I don't even want Nandy in my wedding? How many Kapukus in Bongolala can afford her? For a man who's over 40, you sure have lots of teenage girl hobbies.

PS
...and no, that was not a politician's wedding. A politician was just invited to it.
 
Utaruka juu ndio unipige kofi ama utasimama juu ya kiti kwa huu ufupi wako?
View attachment 3310788
Ndio mana nakwambia wewe ni jipumbavu, unadhani nipo hivi hadi sasa.? After 7 years.? 🤣🤣🤣 ukikutana na Mimi si utakimbia, zuzu wewe.
Halafu nani kakwambia Mimi ni mfupi au hizi picha Ndio zinakudanganya.?
 
Safaricom is 60% owned by Kenyans, KCB is 89% owned by Kenyans, Equity bank was started started by a Kenyan and it’s also owned by Kenyans. Barrick is 100% owned by white people😂😂🤣😂
kenya ina only 35% safaricom acha kudanganya watu kenge wewe
IMG_5992.jpeg
 
Kwahiyo wakipata faida letsa usd 2bil wanabaki na 700mil tu wakati nyingine yote inavuka mipaka wakati metl alipata hata 1bil inabaki yote Tanzania .
Mimi nawaza tu kutokana na faida yao hii kama mchicha wanayopata kulingana na report yao hii. Dividend watagawana Sh. ngapi ngapi? Na serikali ya Kenya itapata Gawiwo la kiasi gani? 👇 👇 👇

1745223540290.png
 
That's a very stupid assertion. What if I don't even want Nandy in my wedding? How many Kapukus in Bongolala can afford her? For a man who's over 40, you sure have lots of teenage girl hobbies.

PS
...and no, that was not a politician's wedding. A politician was just invited to it.
Mwanaume straight hawezi ingia online kusifia harusi, hawa wote humu huwa wanadinyana nyuma.
 
Unajuwa maana ya ksh'm 😂😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 Hiyo hapo ndiyo biggest Company in Kenya inatengenea faida ya Ksh 35,380.3M
Sawa na $270,270.27
Wakati Twiga Minerals inatoa dividend kwenye serikali ya Tanzania $800,000,000, tuambie faida itakuwa $ ngapi?

Hiki ndicho tulichokuwa tunaongea kijana. 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom