Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona watchman kaumia 🤣🤣🤣
Unafikiri hapo Kuna barabara za vumbi kama kule kwenu? That's Riverside Drive, the road leading to Riverside estate all the way to Kilimani
View attachment 3311085View attachment 3311086View attachment 3311089
Screenshot_20250328_182814_Photos.jpg
Screenshot_20250415-194314.png
 
Ya airline imekushinda au ukona bipolar?
Inishinde wapi umeshindwa kuwa na hoja umeleta ishu ya jambohet eti kucoverdomestic routes nani alikuambia lazima tuwe airline tofaut kucover domestiic route hata hiyo jambo jet tukiweka routes zake hapa za local hakuna kitu kabisa bado ni Mombasa Nakuru Kisumu , wakati Tanzania Iko wide open karibia Kila mkoa Kuna route
 
The world knows nothing about Swahili language ndio maana mko bize kuudanganya ulimwengu. Watu wanaojua Kiswahili wanajua fika kuwa Wakenya hawajui kiswahili wala English, they are a bunch of useless tribalists.
Huyu MNganda huwa anaandika ujinga sana hasa kupamba Kenya lakini na ujinga wake anajua ukweli halisi. theeastafrican.co.ke
View attachment 3311404
"a National Anthem from a different country" This line ni ya kijinga mno. We never copied any country's national anthem, we simply liked a song from a foreign country and established it to the world as our national anthem. Prior to 1961 it was just a song like 50 Cent's 'Candy Shop'.
actually only the rhythm and melodies r the same but lyrics r different!
 
Inishinde wapi umeshindwa kuwa na hoja umeleta ishu ya jambohet eti kucoverdomestic routes nani alikuambia lazima tuwe airline tofaut kucover domestiic route hata hiyo jambo jet tukiweka routes zake hapa za local hakuna kitu kabisa bado ni Mombasa Nakuru Kisumu , wakati Tanzania Iko wide open karibia Kila mkoa Kuna route
Kwa hivyo unataka KQ ifanye domestic routes kama air tangagiza yet kuna very many local airlines za kufanya hio shugli. Kenya sio kama bongoslum yenye inategemea ATCL for kila kitu.
 
Kwamba Kenya kuna BRT na hatujui.
Read my post again…. Ni kama ile Bagamoyo port yenu ( which was a knee jack reaction to our Lamu port.). Politics got involved ( Matatu cartels). But we were first to propose BRT and we set everything in motion only for political interference last minute. You announced Dar BRT after Nairobi’s, same as other major projects that you copycat Kenya. You know that ..
 
What do you expect when you only have one airline servicing Mwanza? Mwanza is served by the following domestic airlines;

KQ
Jambojet
FlyAir540
Skyward Express
Silverstone Airline
748 Air Services
Safarilink Air
RenegadeAir
EastAfrican Air
unaumwa wewe! none of the airline ina-serve local routes!
BTW the list of local airlines serving Mwanza from Dar
Flightlink
Auricair
Precisionair
etc.
 
unaumwa wewe! none of the airline ina-serve local routes!
BTW the list of local airlines serving Mwanza from Dar
Flightlink
Auricair
Precisionair
etc.
Flight radar inasema Mwanza from Dar is a slum kesho on 22nd April has only 3 flights a day. Huwezi tudanganya we mzee.
 
Back
Top Bottom