IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,284
- 9,435
Do you even comprehend what you posted?🤣 🤣 🤣 🤣 Hiyo hapo ndiyo biggest Company in Kenya inatengenea faida ya Ksh35,380.3M
Sawa na $270,270.27
Wakati Twiga Minerals inatoa dividend kwenye serikali ya Tanzania $800,000,000, tuambie faida itakuwa $ ngapi?
Hiki ndicho tulichokuwa tunaongea kijana. 🤣🤣🤣🤣
Do you know how much ksh 35,380 m is?
That is ksh 35,380,000,000 or 35.38billion
Now do you want to stick with this or your wanna change it