Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Damn why are bongolalas so slow. OMG
The first part of the sentence inasema Nairobi is like Dar on coke. Yani Nairobi ni kama Dar on cocaine, in short ukitumia coke hua umechangamka more than usual. Waaaaa mbona mnakuanga slow hivi lakini.
Kwahiyo unakubali mko addicted kwenye coke
 
1. National Anthem mlichukua kwa wengine ama walichukua kwenu? Si National Anthem yenu ni wimbo wa kiXhosa Afrika Kusini? 🤣🤣

2.Lugha ya Kiswahili nayo si imeanzia Kenya ama unataka tukupe Somo kwa mara ya pili?
3.See why I say you're overexcited because you're rarely on spot on this continent.
1. Namba moja inaonesha kuwa wewe ni below average. Ni nensho anthem ya Tanzania, wimbo una asili ya huko.
1961 ndio ulikuwa introduced kwa dunia kama wimbo wa taifa na wengine wakaiga hapo.

2. Iwaje hamjui kiswahili? Nyie ni watu wa kudandia dandia tu mafanikio ya wengine.
3. Nilipost huku gazeti lenu la Daily nation likieleza vyema diplomatic clout tuliokuwa nayo hakuna mataifa ya Africa yanadream tu kwa sasa. Hii ni duniani kote, kabla ya nyie kenge hamjazaliwa, kwa sasa tumeamua kuchill.

Gazeti lenu hili: theeastafrican.co.ke
1745252616974.png
 
wacha kujiba at last amtoa conclusion! Dar is Nairobi on coke! Meaning Nairobi is slumber mood! Layz idiots assholes like u claiming to shap but always ending up being outsmarted by reserved Dar chaps!
Kwako meaning ya coke ni slumber. 🤣 🤣 🤣 Naishaaaaaa.
 
wacha kujiba at last amtoa conclusion! Dar is Nairobi on coke! Meaning Nairobi is slumber mood! Layz idiots assholes like u claiming to shap but always ending up being outsmarted by reserved Dar chaps!
We mzee punguza ujuaji. Kama hujui kitu kubali tu, at least wewe tunaelewa wewe ni mzee na ujinga wako unakubalika.

ScreenShot Tool -20250421193021.png
 
Back
Top Bottom