Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You think Magufuli revived Atcl to Compete with KQ ?

You guys hate when Tz is developing and any project inakuwa kama tumewageza

So a country big as all EA counties combined unataka kusiwe hata na ndege za kuruka kwenda another region in Tz

Are you guys serious
Hawa makuma ni mafala huwezi amini, na ndio huwa akili za viongozi wao wanawaza hivyo kabisa, magufuli alifufua ATCL kama alivyofufua mashirika mengi ya umma yaliokua yamekufa lakini wakundustan wanasema tuliwageza, SGR plan ya Tanzania ipo mpaka kule skyscrapercity toka early 2000s lakini cha ajabu wanasema tumewaiga wao
 
Hata BRT walifanya kujishindanisha na Kenya, angalia sasa inavyojifia.
Nyie vip? Yaani kila kinachofanyika Tanzania bas wanashindana na kenya. BRT iliyojengwa Kuanzia 2012 na kufunction 2015 huko, 10 years ago. Nyinyi kwa nini mmelazimisha BRT system Thika road na mmefeli vibaya sana, hata phase moja imewashinda. Si mlikuwa mnaiga Tz?

BRT imekufa kwa bus moja kuvuja? Tena siku hiz wamekuwa serious kama hujui, Mabasi mengi yemetengenezwa ( fuatilia yaliyokuwa yamepark gerezani, Ubungo, yote yanafanya kazi) wanajenga hadi ofisi zao mpya posta ya Zamani, wametengeneza app ya ticketing, na sasa kuna mradi wa ITS unakaribia kuanza. All BRT buses zitakuwa tracked na kutumia mwendokasi app utajua location ya Bus

Juzi tu hapa wamepokea bus la gesi la majaribio na soon wanaongeza 100 BRT buses za gas
1745209266750.jpg

Lakin Nyinyi mbona national Airport inavuja?
 
This is what Americans thought of China until they got a rude awakening recently😂😎
Ndio tatizo la nchi kuwekeza kwenye propaganda than kuwekeza kwenye reality.

Nchi zinazowekeza kwenye propaganda budget kubwa inapelekwa kwenye; branding, image building, flashy events, Showing impressive reports.

Hii hali inawala sana wakenya
 
Nairobi BRT was proposed and wheels started rolling before yenu . Sooner you jumped the bandwagon na mkasema mnajenga yenu pia. I WILL GIVE YOU CREDIT.. you accomplished your goal despite the chaotic situation with your BRT..Ours got stuck in politics ya Matatu cartels. Nairobi then switched to Trains . Sooner you also announced Dar trains zinakuja .. you get the picture?..😄😄
Kwan Dar haikuwaga na commuter trains? Hazipo kwani? Treni za mwakyembe ni mpya?
Kutangaza kuwa watazijenga upya na kushindana na kenya.

Can you provide evidence kwa Nairobi was planning to have BRT before Dar, if so mbona Barabara zanu hazikujengwa kufuata plan toka Zamani? Dar most roads since 2000s zilijengwa kufuata plan ya BRT. Look at Şam Nujoma, Bagamoyo road, Manðelá road, Nyerere road etc . Kuweka BRT system hata hawaangaiki sana

Kwa comment yako, unamaanisha no other East African country should develop than Kenya. Ego za kipumbavu
 
Nyie vip? Yaani kila kinachofanyika Tanzania bas wanashindana na kenya. BRT iliyojengwa Kuanzia 2012 na kufunction 2015 huko, 10 years ago. Nyinyi kwa nini mmelazimisha BRT system Thika road na mmefeli vibaya sana, hata phase moja imewashinda. Si mlikuwa mnaiga Tz?

BRT imekufa kwa bus moja kuvuja? Tena siku hiz wamekuwa serious kama hujui, Mabasi mengi yemetengenezwa ( fuatilia yaliyokuwa yamepark gerezani, Ubungo, yote yanafanya kazi) wanajenga hadi ofisi zao mpya posta ya Zamani, wametengeneza app ya ticketing, na sasa kuna mradi wa ITS unakaribia kuanza. All BRT buses zitakuwa tracked na kutumia mwendokasi app utajua location ya Bus

Juzi tu hapa wamepokea bus la gesi la majaribio na soon wanaongeza 100 BRT buses za gas
View attachment 3310733

Lakin Nyinyi mbona national Airport inavuja?
Dmu yao inabeba abiria wasiofikia hata 10,000 kwa siku brt inabeba abiria zaid 100,000 kwa siku bado wanataka kujilinganisha
 
Kenya to buy 25-years old second-hand diesel trains as Ethiopia,Tanzania embrace electric trains Read more: Kenya to buy 25-years old diesel trains as Ethiopia embraces electric trains

Hizi ndo unapigia kelele ambazo cost ya behewa Moja haifikii hata gharama ya kununua irzar ya katarama,
Halafu hata njia zenyewe mnatumia za mgr tu hakuna kipya mlichoongeza.
Tukisema tunununue hizo dmu tunauwezo wa kuagiza dmu sio chini 110 kama hela yenyewe mliyonunulia ndo hiyo.
Ebu angalia order Moja ya mabasi ya brt

Tanzania has ordered new BRT buses, including a phase 2 expansion, with the infrastructure costing $159.32 million. The second phase of the BRT system, spanning 20.3 kilometers, was built by China's Sinohydro Construction Limited (SCL). The buses themselves are expected to arrive shortly, with Tanzania waiting for 250 buses from China to start operating the second phase.
Decommissioned trains for commuter services ndio anashangilia ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni 😁
 
Nairobi BRT was proposed and wheels started rolling before yenu . Sooner you jumped the bandwagon na mkasema mnajenga yenu pia. I WILL GIVE YOU CREDIT.. you accomplished your goal despite the chaotic situation with your BRT..Ours got stuck in politics ya Matatu cartels. Nairobi then switched to Trains . Sooner you also announced Dar trains zinakuja .. you get the picture?..😄😄
Wewe ni taahira, BRT ya Dar inaanza planing mimi nipo bado kinda imeanza ujenzi 2012 plans zilikua toka 2004 huko, hiyo yenu tuliiona lini?
Screenshot_20250421-074611.jpg
 
Baada ya Harusi Nigeria, jana tulikuwa na Mtoko wa Pasaka sasa kubwa kuliko yote inakuja ni Samia Serengeti Music Festival

Guys naanza kuwaletea hii mpka itakapofika tarehe 26 Apr 2025,

Msichoke hii ndiyo Pride yetu, kuwakondesha majirani
 
Baada ya Harusi Nigeria, jana tulikuwa na Mtoko wa Pasaka sasa kubwa kuliko yote inakuja ni Samia Serengeti Music Festival

Guys naanza kuwaletea hii mpka itakapofika tarehe 26 Apr 2025,

Msichoke hii ndiyo Pride yetu kuwakondesha majirani
Wenzako bado wanahangaika na ruto must go na hela za kufikisha sgr malaba
 
Back
Top Bottom