Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado hii ndege ya Kenya inkuwasha. Haya basi, ebu fuatilia hio ndege pale flight radar alafu utuambie baada ya kudrop Diamond ilienda nchi gani. Niko hapa nangoja jibu.🤣🤣
kwani Ukunyani hamna politician clients?
 
Ndio mana nakwambia wewe ni jipumbavu, unadhani nipo hivi hadi sasa.? After 7 years.? 🤣🤣🤣 ukikutana na Mimi si utakimbia, zuzu wewe.
Halafu nani kakwambia Mimi ni mfupi au hizi picha Ndio zinakudanganya.?
The average man stops growing in height at 18, unless you're 20 years old now, you're still a dwarf. Libaba limemea ndevu alafu linasema picha lilipiga likiwa litoto. Picha zenyewe umepost humu mwenyewe last year. You're a dwarf bro. Jikubali. Kunipiga Kofi ya uso labda ubebwe na Geza Ulole
 
Ile siku hii technology itafika bongoslum, hatatutapumua huku.🤣🤣 Kwa sasa endeleeni kuandika makaratasi.

View: https://x.com/Mukhisa_/status/1913835844647129334?t=he6W6ZjPEBeAWqfX0ljXxQ&s=19

Hizi ndio mnaona leo.? 🤣🤣🤣soma tarehe hiyo. 👇🏾
IMG_6665.jpeg
IMG_6664.jpeg
tochi za barabarani hizo Ndio tunaita huku bongo.
 
Kujeni muone mshamba hajui tofauti by speed gun na speed cameras. 🤣🤣🤣 Nilijua tu nitapata bongolala pumbavu trying to prove a point.
Wewe ndo unaibika

Speed guns and speed cameras both measure vehicle speed, but they differ in how they do so and where they're typically used. Speed guns are handheld devices that use radar or laser to measure speed in real-time, often by officers in moving vehicles or stationed along roads. Speed cameras, on the other hand, are fixed, automated systems that use radar, laser, or video analytics to determine speed, typically at designated locations.
 
Sasa unatuambia vitu tunajua ndio tuone wewe ni mjanjez ama? The fact is, bongoslum hakuna speed cameras that produce instant fines via SMS to drivers.
 
Back
Top Bottom