Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio refference yako.? 🤣🤣🤣

Skiliza Lipa kwa simu zipo kila kona ya Tanzania hii… na kila siku mobile money mitandao inaongezeka. Ever heard of Azam pay..? 👇🏾View attachment 3295771hii hauhitaji kuwa na sim card. Na ni useful hata ukiwa na kiswaswadu unabonyeza zako hizo USSD code unatumia.

Watu kwasasa tupo mbali sanaaa budaa. 🤣🤣🤣 we endelea kutupigizia kelele za Mpesa.
Alafu wao kwao ni mpesa tu ndiyo mana anakuwa monopoly.
 
Women's Volleyball World Championships group stages. Africa will be represented by the usual teams; Kenya, Egypt and Cameroon. These are the most successful women's Volleyball teams in Africa
FB_IMG_1744092658391.jpg

"Footballing nation" how's life treating you hapo Tandale?😂😂😂
 
Nyie hamna chochote cha kushindana nasi. Sera yetu ya maendeleo ni “ujamaa na kujitegemea”. Hapo kwenu wazungu wakitoa mitaji yao, wote mnakufa njaaa 🤣🤣🤣🤣 wazungu wakigoma kujenga, hata magorofa marefu mtaishia kuyaona kwa TV. You are not our competition. Sisi tunajiweza. Ndio mana tunamiliki uchumi wetu.
Ndiyo mana maisha yao magumu sn kwa kufurahi huo upumbavu wa investors. Yani wakenya wanaona dili investors kumiliki uchumi wao, wana mawazo potofu sana na hawatokuja kuendelea kamwe.
 
Vilaza wawili wakijipa matumaini 🤣🤣🤣🤣
 
Magovi hii ni kitu imekua ngumu sana kutafuna kuna mpaka govinda mmoja kajichomoa akili anasema mpesa ina value of transactions sawa na, transactions za Germany 😂😂😂 Mkundustan anaamini yeye ndio alivumbua mpesa na hapaswi mtu mwingine kumzidi matumizi 😂😂 uchumi wa mama mboga wanalinganisha na uchumi wa minerals and gemstones View attachment 3295918
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bongolala, you've used a penthouse as a judiciary building for the last 60 years and you think you've made it just because you turned an office complex into a judiciary building. What a bunch of imbeciles
Alafu nje ya mahakama slum dwellers wanauza sukuma wiki, only in Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
downloadfile-25.jpg
 
Back
Top Bottom