Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuko hapa 👇👇

Tanzania judiciary building
View attachment 3295460
Vs

Kenya colonial judiciary building 🤣🤣🤣🤣
View attachment 3295461
Tofauti ni zaidi ya usiku na mchana, huwa najiuliza kodi mnazolipa huwa zinaenda wapi ikiwa majengo muhimu yote ni yale yale mliyoachiwa na mkoloni, hamuwezi kuwa huru ikiwa hamuwezi jenga wenyewe majengo muhimu kama ikulu, mahakama na bunge. Kenya ni hopeless country ever.
Kenya ni hopeless wakati imeshinda nchi yako ni almost everything!😂😂
 
Unaleta article yenye hata huezielewa, what is 68% of the Kenyan GDP? Ebu tuambie hiyo 68% ni dollars ngapi?
Unaleta article yenye hata huezielewa, what is 68% of the Kenyan GDP? Ebu tuambie hiyo 68% ni dollars ngapi?
Ni trillion 7 hizi hapa
Screenshot_20250407-171446.jpg
 
Back
Top Bottom