Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Mwenye kiti ichoboy01 ni mzalendo haswaa. Lakini saa zingine anakua na siasa kidogo. 😄😄Mbona umepost bango la MAMA mwenyekiti? 🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenye kiti ichoboy01 ni mzalendo haswaa. Lakini saa zingine anakua na siasa kidogo. 😄😄Mbona umepost bango la MAMA mwenyekiti? 🤣🤣🤣🤣🤣
akifanya zuri tutasema zuri akibananga tutasema kafeli 😂😂😂😂Mbona umepost bango la MAMA mwenyekiti? 🤣🤣🤣🤣🤣
Unafikiria Tuko Daresaalam? Kama mnafanya hivyo Dar CBD unafikiria ni kila pahali kuko hivo?😂😂Alafu nje ya mahakama slum dwellers wanauza sukuma wiki, only in Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3296715
Bruh, money can buy you happiness right here in the motherland
View: https://youtu.be/abbHLBmCf_4?si=HkgDifCMk7cR0TPw
Who is that dudeHuu ujumbe mpe ndugu yako Mwaisa Sadima Dickson arudi kwao atoke kuke utumwani, aje afurahie maisha Africa.
kibaha shopping mall over 30km from CBD
View: https://x.com/magogonidaily/status/1909561172019323054?s=46
Sama boy … am putting up a major home project in Nanyuki on 30 acres of Land… when it’s done , I will post it specifically 4u ..then you can talk more…😁Huu ujumbe mpe ndugu yako Mwaisa Sadima Dickson arudi kwao atoke kule utumwani, aje afurahie maisha Africa.
Ni mwaka wa tatu huu sijui wa pili tangu uanze kusema hii maneno, iko wapi hiyo project. 😆.Sama boy … am putting up a major home project in Nanyuki on 30 acres of Land… when it’s done , I will post it specifically 4u ..then you can talk more…😁
Mwaka wa Pili … be patient my friend.. the oven is still baking the cake . So I hope you have same energy n’ enthusiasm when it’s a wrap .Ni mwaka wa tatu huu sijui wa pili tangu uanze kusema hii maneno, iko wapi hiyo project. 😆.
Pesa yote inalipa loan 😁😁👇👇
View: https://x.com/BD_Africa/status/1909637657849639116?t=bkDv3ZGhrVa1sVtjqkRKkg&s=19
That's an ugly building, I wouldn't even want to be part of.Watasema wamedizaini michoro ya jengo la mahakama Tanzania ili wajifariji